........................................................... Contact Us : 0742447854 ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/rickmediatz --------------------------------------------------------------------------------- Website www.rickmediatz.com -----------------------------------------------------------------------------------
Kikosi cha Al-Ahly kimetua Tanzania kumenyana na Simba kwenye Mchezo wa AFL dhidi ya Simba ambae ndio mwenyeji wa Mchezo huo. Balozi wa Misri Nchini Tanzania Sharif Ismail amezungumza baada ya Kikosi cha Al-Ahly kutua Tanzania. Mapokezi yao na baadhi mipango yote ya Mechi Balozi amezungumza hapa
Kikosi cha Simba Kimetua Tanzania kutokea Uturuki walipokita Kambi ya maandalizi ya Msimu mpya. Kikosi hicho kimeongozwa na Kocha Robertinho pamoja na baadhi ya Viongozi akiwemo Mratibu wa Timu Abbas Ally.