🔴#LIVE: RUVU SHOOTING VS SIMBA SC HALI ILIVYO NDANI YA UWANJA/MASHABIKI WAFURIKA..
🔴#LIVE: RUVU SHOOTING VS SIMBA SC HALI ILIVYO NDANI YA UWANJA/MASHABIKI WAFURIKA..

Leo Novemba 19 2021 Mpenja Tv tupo uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kukuletea matukio yote yanayojiri kwenye mchezo wa ligi ya NBC kati ya Ruvu Shooting na Simba Sc Fungua Video hii kupata Utamu wote.... #Ruvushooting #MasauBwire #Simbasc #MpenjaTV



ONA SHANGWE LA SIMBA WAKIKABIDHIWA KOMBE LAO, WATUMA DONGO YANGA
ONA SHANGWE LA SIMBA WAKIKABIDHIWA KOMBE LAO, WATUMA DONGO YANGA

SHEREHE ZA UBINGWA WA VPL 2020/21 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Simba imekamilisha msimu wa 2020/21 kwa utamu wakiipiga Namungo ya Lindi kwa mabao 4-0 katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Walichofanya Simba ni kunogesha ubingwa wao wa nne mfululizo wakishinda kwa kishindo bao 4-0 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Mchezo ulianza kwa Simba kufanyiwa mapokezi ya kibingwa ambapo Namungo walijipanga katika mistari miwili huku wekundu hao wakipita katikati huku wakipigiwa makofi na wageni wao pamoja na mashabiki. Simba ndio waliouanza mchezo kwa kasi na dakika ya 5 tu wanatengeneza shambulizi zuri lakini shuti la mshambuliaji Chris Mugalu linazuiwa na beki Steven Duah mpigaji akipokea pasi safi ya kiungo Clatous Chama. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



SIMBA TV 02/02/2019: Utamu wa Shiza Kichuya alipokuwa Msimbazi
SIMBA TV 02/02/2019: Utamu wa Shiza Kichuya alipokuwa Msimbazi

Klabu ya Simba imemuuza mchezaji wake Shiza Ramadhan Kichuya kwa timu ya Pharco ya nchini Misri. Kipindi hiki kinakupa ladha mbalimbali za mchezaji huyo tangu ajiunge na Simba miaka miwili iliyopita huku Afisa Mtenda Mkuu wa Simba akifafanua sababu za kumtoa mchezaji huyo kwenda kwenye timu ambayo inashiriki ligi daraja la pili. Kipindi hiki pia kimeangazia kwa kina safari ya timu ya Simba nchini Misri ambako ilikwenda kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. #SimbaTV ni kila Jumamosi saa 3:30 usiku #AzamSports2




« Previous


Popular Tags

#Goalkeeper Saves  #Lionel Messi  #Kawhi Leonard  #Football Defensive Skills  #Kyrie Irving  #Russell Westbrook  #Counter Attack Goals Football  #Boston Celtics  #Paul George  #Allen Iverson  

Popular Users

#twitter  #NiallOfficial  #KDTrey5  #nytimes  #Oprah  #OleksiakPenny  #Drake  #AdamSchefter  #Buccigross  #tigerwoods  #b_ryan9  #nfl  #neymarjr  #alexmorgan13