NAMUNGO Watua Taifa na Ulinzi Kuwavaa SIMBA SC
NAMUNGO Watua Taifa na Ulinzi Kuwavaa SIMBA SC

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Tusker FC 1-1 Ulinzi Stars FC | HIGHLIGHTS | Sun, 26.01.2020 | KPL 2019-20 Round 19
Tusker FC 1-1 Ulinzi Stars FC | HIGHLIGHTS | Sun, 26.01.2020 | KPL 2019-20 Round 19

Watch highlights from the KCB FC vs Western Stima FC match which was played at the Kenyatta Stadium, Machakos, on Saturday, January 25, 2020.



Kariobangi Sharks FC vs Ulinzi Stars
Kariobangi Sharks FC vs Ulinzi Stars

Kariobangi Sharks FC vs Ulinzi Stars Kenyan Premier League 21st November 2019 3.00pm Moi International Sports Centre (Kasarani Stadium) #wearesharks #sharkattack



LIBYA VS TANZANIA (2-1) - VIBE la Mashabiki wa STARS Kabla ya Mchezo..
LIBYA VS TANZANIA (2-1) - VIBE la Mashabiki wa STARS Kabla ya Mchezo..

LIBYA VS TANZANIA (2-1) - VIBE la Mashabiki wa STARS Kabla ya Mchezo.. MWAMUZI wa kati ya timu ya taifa ya Tanzania iliyokuwa inamenyana na Libya nchini Tunsia leo amebeba furaha ya mashabiki kwa kufanya maamuzi yasiyo ya kungwana mbele ya Stars nchini Tunisia. Mchezo wa leo umekamilika kwa Stars kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 licha ya kuanza kufunga bao la kwanza dakika ya 18 kwa mkwaju wa penalti kupitia Mbwana Samata baada ya Msuva kuchezewa rafu. Dakika ya 68 mwamuzi alitoa penalti ya kungaunga kwa Libya jambo lililowavunja moyo wapambanaji wa Stars kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya Afcn nchini Tunisia na bao likapachikwa na Sand Masoud dakika ya 68 ambaye alipiga penalti. Dakika ya 81 zikiwa zimebaki dakika 9 mpira kukamilika Anias Saltou aliandika bao la pili akiwa ndani ya 18 kutokana na safu ya ulinzi kufanya makosa ya wazi. Mchezaji wao tegemeo kwa Libya, Hamdou Mohamed alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 87. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list...] HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li



AFC Leopards SC 0-0 Ulinzi Stars FC | HIGHLIGHTS | Sat, 2.11.2019 | KPL 2019-20 Round 8
AFC Leopards SC 0-0 Ulinzi Stars FC | HIGHLIGHTS | Sat, 2.11.2019 | KPL 2019-20 Round 8

Watch highlights from the AFC Leopards SC vs Ulinzi Stars FC match which was played at the Kenyatta Stadium, Machakos, on Saturday, Nov 2, 2019.



KOCHA TRIANGLE Awaacha Midomo Wazi AZAM 'HAIKUWA RAHISI'
KOCHA TRIANGLE Awaacha Midomo Wazi AZAM 'HAIKUWA RAHISI'

KOCHA TRIANGLE Awaacha Midomo Wazi AZAM 'HAIKUWA RAHISI' MCHEZO wa kwanza hatua ya Kwanza kwenye Kombe la Shirikisho kwa kikosi cha Azam FC dhidi ya Triangle United umeongezeka uzito kwa wawakilishi wa Tanzania baada ya kupoteza mchezo. Bao pekee la wapinzani wa Azam FC, Triangel United ya Zimbabwe lilifungwa dakika ya 34 na Ralph Kawondera kutokana na uzembe wa safu ya ulinzi wa Azam FC. Licha ya Azam FC kupewa sapoti kubwa na mashabiki waliojitokeza uwanja wa Azam Complex hayakuzaa matunda kwani safu ya ulinzi ya Triangle United ilikuwa ngumu na ikajilinda na hatari zote. Sasa Azam FC ina kazi nzito ya kwenda kutafuta matokeo ugenini kwenye mchezo wa marudiano unaoatarajiwa kuchezwa kati ya Septemba 27-29 nchini Zimbabwe. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza wa kimataifa kwa Azam FC kupoteza kwa mara ya kwanza uwanja wa nyumbani kati ya tisa ambayo walishaicheza tangu mwaka 2008. Mzigo wa Azam Fc kwa sasa ni kuongeza spidi ya kutafuta mabao zaidi ya mawili kwenye mchezo wa marudio. https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App:



SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR, Simba Walivyotua Taifa Kibabe
SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR, Simba Walivyotua Taifa Kibabe

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars FULL TIME: SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR Dak ya 90+3, kadinya njano inakwenda kwa Salum Kanoni, dakika za jioni kabisa. Dakika zimeongezwa tatu kumaliza mpira, zimesalia mbili sasa. Dak ya 90, Jonas Mkude anaingia kuchukua nafasi ya Shiboub Dak ya 81, Imepigwa faulo ile kwake Kahata inamkuta na anajaribu kumalizia lakini mpira unamzidi kasi, golikiki. Dak ya 81, Mtibwa wanacheza faulo, inapigwa kuelekezwa langoni kwao, nafasi ya Simba kupata bao la tatu. Dak ya 79, Kahata anaingia kuchukua nafasi ya Chama. Dak ya 77, Kona nyingine kwa Simba, ni baada ya Kapombe kubabatizana na Kapombe. Inapigwa lakini inakuwa golikiki. Dak ya 74, Simba wanaanza tena upya, Yassin kwake Athuman, piga kwake Kado anadaka mpira. Dak 68, Mirajiiiiii, anaifungia Simba bao la pili kwa shuti kali akitoka kupokea pasi nzuri kutoka kwa Shiboub Dak ya 67, Mtibwa wanaonesha jitihada za kulinda zaidi eneo lao na wakifanya mashambulizi ya kushtukiza kwa Simba. Dak ya 63, Simba wamefanya shambulizi la kutisha langoni mwa Mtibwa lakini mawasiliano yamekuwa si mazuri na Mtibwa wanaokoa. Dak ya 62, Miraji Athuman anaingia kuchukua nafasi ya Hassan Dilunga. Dak ya 60, Simba wameanza tena, Chama anachukua, anampasia Nyoni, wanajribu kupenya ngome ya Mtibwa, kwake Kagere lakini Mtibwa wanawadhibiti. Dak ya 57, Tayari Kado ameshasimama na mpira umeshaanza, Simba wanaanza kwa kupasiana vema langoni mwa Mtibwa, unamkuta kwake Chama, anapiga shuti ambalo linapaa nje ya lango. Dak ya 55, Mpira umesimama, Kado ameumia, Kahata naye anaonekana kama anataka kuchukua nafasi ya mtu. Dak ya 52, Kado anaokoa nafasi nyingine kutoka kwa Yassin aliyepata nafasi ya kufunga, kama angekuwa dhaifu angeshafungwa zaidi ya bao mbili. Dak ya 52, Kagere anaotea, anaonekana kulalamika kwa kuonesha ana njaa ya kufunga. Dak ya 49, Aishi Manula anaanzisha upya mashambulizi, ni kipindi cha pili sasa. MAPUMZIKO: SIMBA SC 1-1 MTIBWA SUGAR Dak ya 47, Chama amepiga lakini inakwenda nje. Dak ya 46, Humud anapewa kadi ya njano baada ya kucheza madhambi, ni ya kwanza ndani ya dakika 45 za kwanza, ni faulo. Dak ya 44, Fraga anababatizana na mchezaji wa Mtibwa, mpira unakwena nje, unarushwa kuelekea Mtibwa. Dak ya 42, Tayari Shiboub alishaamka, na zikiwa zimesalia dakika mbili mpira kwenda mapumziko. Dak ya 41, Shiboub anafanyiwa madhambi, na mpira umesimama kwa muda. Dak ya 38, Kanoni anatolewa nje na machela baada ya kuumia, matokeo bado ni 1-1. Dak ya 37, Chamaaaaa, pata nafasi moja maridadi kabisa lakini shuti lake linakwenda moja kwa moja kwa Kado kwa kulidaka. Dak ya 33, Inapigwa lakini inakwenda moja kwa moja kwa Manula ambaye anapangua na kuuelekeza eneo la kati mwa uwanja. Dak ya 32, Mtibwa wanapata faulo, anakwenda kupiga Salum Kanoni, piga mkwaju mkali unapanguliwa na Manula, inakuwa kona. Dak ya 31, Mtibwa wanajichanganya eneo lao la ulinzi, Simba wanaudaka kwake Kagere, bahati si yake. Kipa anadaka. Dak ya 30, ni kona nyingine inapigwa kuelekezwa Mtibwa, anapiga Chama, piga kule lakini inababatizwa na wachezaji wa Simba, golikiki. Dak ya 28, Mpira umesimama kwa muda, mchezaji wa Mtibwa ameumia. Dak ya 27, Offside kwa, mpira unachezwa na Mtibwa. Dak ya 25, Kapombe anapasiana na Chama eneo la kati mwa Uwanja, maelewano yanakuwa si mazuri, na mpira unakuwa golikiki, unaelekezwa Simba. Dak ya 24, Mpira unarushwa kuelekea lango la Mtibwa, ni karibu na eneo la kona, umesharushwa na unatolewa tena. Dak ya 21, Rifat Hamis anaisawazishia Mtibw aSugar kwa mpira wa kichwa ulitokana na kona, ni 1-1. Dak ya 17, Goooli, Meddie Kagere anafunga bao la kwanza baada ya Simba kupasiana vema katika eneo la hatari, sasa ni 1-0. Dak ya 10, Golikiki imetokea upande wa Simba, wanaanza upya kwake Manula. Dak ya 9, Simba wanapata kona ya kwanza,wanapiga lakini inatolewa nje na Mtibwa, wanaenda kurusha, Chama anarusha. Dak ya 7, Simba wanatandaza pasi nzuri kuelekea Mtibwa, kwake Shomari Kapombe, anapiga krosi ambayo inashindwa kuzaa matunda. Dak ya 6, Kado anaokoa mpira uliopigwa na Chama akiwa peke yake, ni nafasi ambayo Simba wamngeshaandika bao. Dak ya 6, Bado Simba wanaonekana kuutawala mchezo zaidi ya Mtibwa kwa dakika hizi sita za mwanzo. Dak ya 4, Simba wanaanza faulo kwa kupasiana, anapiga Nyonii, inaokolewa na mabeki wa Mtibwa. Dak ya 3, Zimbwe Jr anakokotoa mpira na guu la kushoto kushoto mwa uwanja, mchezaji Awadhi Salum wa Mtibwa anashikana mkono, faulo. Dak ya 3, Manula anadaka mpira, anaanzisha mashambulizi upya. Dak ya 2, Rifat Hamis wa Mtibwa anapandisha mashambulizi kwenda Simba, ni la kwanza. Dak ya 1, mechi imeshaanza Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, na Simba wameanza kwa kushambulia kwa kasi lango la Mtibwa. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Football Defending Skills  #David Silva  #Shot Goals  #Mesut Ozil  #Russell Westbrook  #Lionel Messi  #Miami Heat  #Best Goals Ever  #Chris Paul  #Paul George  

Popular Users

#jadande  #TheRealJRSmith  #Oprah  #sportspickle  #jimmyfallon  #nytimes  #BarackObama  #geniebouchard  #J_No24  #JasonDufner  #ArianaGrande  #narendramodi  #RealSkipBayless  #THNRyanKennedy  #shakira