LIVE; JEZI YA SIMBA SC NI UMEME/ JAYRUTY ATOA YA MAISHA/ KIBU, KELVIN JOHN WATEMWA TAIFA STARS/ HEMED MOROCO AOMBA SAPOTI YA WAANDISHI TAIFA STARS/ YANGA SC NI KIBOKO WAJIFUA KUUPAMBANIA UBINGWA.
“Simba waache kutafuta njia ya kuwakimbia Yanga,waje wacheze Ngao ya Jamii ili Ligi iendelee,tukianza ligi namna hii maana yake mbele kutakua na vipole vingi Fadlu alete timu matokeo watakayopata wayakubali tu,waache mpira wa kizamani ni ushamba huo” Ibrahim Ambokile 🗣️ Follow page yetu ya @almasdigitaltz ✍🏽 @jrmtungo Imedhaminiwa na @trustcars_motors na @premium_security_ltd #AlmasDigitalNews #AlmasDigitalUpdates
KUTOKA CAIRO MISRI: " ....msimu huu tunahitaji kuwapiku Yanga" Baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Wadi Degla FC inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo, Kocha wa Simba, Fadlu davids anaeleza baadhi ya mambo ambayo ameridhika nayo, na maeneo ambayo bado ana kazi ya kufanya.... Kuhusu kikosi chake, Kocha Fadlu anasema bado wanahitaji angalau mchezaji mmoja mwenye kitu cha ziada (X-Factor) atakayewaongezea kitu hasa kwenye michuano ya kimataifa pamoja na mbio za ubingwa wa #NBCPremierLeague msimu ujao wakilenga kuwa juu ya Yanga ... Fadlu anasema anaamini mdhamini wao upande wa jezi, 'Jayruty', atalimaliza hilo.... Naye mfungaji wa moja kati ya magoli mawili ya Simba, Kibu Denis anazungumza machache kuhusu maendeleo ya kambi nchini Misri.... Patrick Nyembera anakuja na taarifa kamli kuhusu mchezo huo... #SimbaSC #SimbaEgypt #SimbaPreSeason
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV Follow us on Social Media Platforms Instagram: Crown FM - https://www.instagram.com/crownfmtz/ Crown TV - https://www.instagram.com/crowntvtz/ Twitter (X): CROWN MEDIA SWAHILI: https://twitter.com/CrownMediaTZ CROWN MEDIA ENGLISH: https://twitter.com/CrownMediaEN Facebook: CROWN MEDIA: https://www.facebook.com/profile.php?id=61556920898213&sk=followers TIKTOK: - https://www.tiktok.com/@crownmedialive?lang=en SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: https://www.youtube.com/channel/UCWHlCJN-WTamGWp4E6ZrhsA
#simbafans #feitoto #tpmazembe #yangafc #football derby #simbafans #tff #caf #yanga #mindset #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #ubuntu #mwananchi #tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #derby #crefisa
KARIAKOO DERBY | Magoli ya Pacome Zouzoua kwa penati na Clement Mzize yameipa Yanga pointi tatu muhimu dhidi ya mtani wake Simba SC na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2024/25 baada ya kufikisha alama 82 dhidi ya 78 za Simba... Huu ulikuwa ni mchezo wa mwisho wa msimu ambao pia ulikuwa ukisubiriwa kutoa maamuzi ya nani awe bingwa wa ligi hii msimu huu... Mbungi imepigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.