SHABANI MPIRA PESA ACHAFUKWA, AJILIPUA VIBAYA KISA MWENYEKITI WA SIMBA MANGUNGU KUGOMBEA TENA.
SHABANI MPIRA PESA ACHAFUKWA, AJILIPUA VIBAYA KISA MWENYEKITI WA SIMBA MANGUNGU KUGOMBEA TENA.

Shabani Mpira pesa achafukwa kisa Mwenyekiti wa klabu ya Simba kuchukua tena Fomu na kuwania nafasi hiyo ya Mwenyekiti ndani ya klabu ya Simba.



FADLU AANZA KWA KISHINDO YANGA, ALI KAMWE AFUNGUKA KUHUSU KAMBI YA ZANZIBAR
FADLU AANZA KWA KISHINDO YANGA, ALI KAMWE AFUNGUKA KUHUSU KAMBI YA ZANZIBAR

YANGA imeanza vizuri maisha yake chini ya kocha mpya, Fadlu Davids, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KVZ katika mechi ya kirafiki wa kujipima nguvu iliyopigwa jana Novemba 14, 2025. Mechi hiuyo ilipigwa katika Viwanja vya Maisala, Unguja, uliishuhudia Yanga ikilazimika kutoka nyuma na kuibuka na ushindi huo baada ya KVZ kupata bao la kwanza kupitia mshambuliaji Mudrick Abdi ‘Gonda’ dakika ya 32 ya kipindi cha kwanza. Yanga ilipata nafasi ya kusawazisha dakika ya 43 baada ya mwamuzi kutoa penalti kufuatia mchezaji wa KVZ kuunawa mpira ndani ya eneo la hatari. Hata hivyo, mshambuliaji Cheikh Touré alishindwa kutumia nafasi hiyo baada ya mkwaju wake kupanguliwa na kipa Hamad Ubwa ‘Baro’. Timu hizo zilikwenda mapumziko KVZ ikiwa mbele kwa bao 1-0. Kipindi cha pili Yanga ilirejea kwa kasi na kufanikiwa kusawazisha dakika ya 52 kupitia Touré, aliyefunga kwa shuti la mguu wa kushoto akitumia pasi ya kiungo Stéphane Aziz Ki. Dakika mbili baadaye, Touré alifunga bao lake la pili na kuipa Yanga uongozi wa mabao 2-1, baada ya kumuwahi kipa wa KVZ aliyekuwa ametoka langoni. Aziz Ki alihusika tena katika bao hilo kwa kutoa pasi ya mwisho. Yanga ilihitimisha ushindi huo kwa bao la tatu dakika ya 79 kupitia Edmund John, aliyemalizia vizuri pasi ya Aziz Ki kufuatia shambulizi lililotokana na mpira wa adhabu ndogo. Mechi hiyo inakuwa ya kwanza na ya mwisho kwa Yanga katika kambi yake ya siku 10 visiwani Zanzibar, iliyoandaliwa kwa ajili ya kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika. Baada ya mechi hiyo, Yanga imebakiza siku mbili kambini kabla ya kurejea Dar es Salaam na kuanza maandalizi ya safari ya kwenda Moshi, Kilimanjaro, kuvaana na Polisi Tanzania katika mechi ya ligi itakayopigwa Novemba 20, 2026. Katika mahojiano maalumu, Meneja wa Habari wa Yanga, Ali Kamwe anaelezea maandalizi ya timu hiyo visiwani Zanzibar na tathmini ya mechi dhidi ya KVZ, huku Msemaji wa KVZ, Abduljalil Salum, akizungumzia namna walivyokutana na mpinzani mwenye ushindani mkubwa.



GUATEMALA CON TENA A MEXICO! SI SE CONFIRMA COMO PARTE DE LA SEDE DE LA COPA ORO PODRIAMOS ESTAR AHI
GUATEMALA CON TENA A MEXICO! SI SE CONFIRMA COMO PARTE DE LA SEDE DE LA COPA ORO PODRIAMOS ESTAR AHI

https://www.youtube.com/c/LAPIZARRAGT_SE_PARTE_DE_ESTA_FAMILIA CONTACTO: gtlapizarra@gmail.com ...




Next »


Popular Tags

#Amazing Solo Goals  #Ronaldinho  #Paul George  #Counter Attack Goals Football  #Michael Jordan  #Kobe Bryant  #Kawhi Leonard  #Goalkeeper Saves  #Allen Iverson  #Best Goals  

Popular Users

#SrBachchan  #DeAndre  #narendramodi  #blakegriffin23  #realmadrid  #Ky1eLong  #Harry_Styles  #BadgerMBB  #CP3  #b_ryan9  #tigerwoods  #BellaTwins  #NASA  #neymarjr