Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Wilfred akimkabidhi jezi ya Timu ya Taifa Balozi wa Tanzania Nchini Misri, Dk. Emmanuel Nchimbi kuelekea mchezo dhidi ya Uganda mchezo wa kufuzu AFCON 2023.
Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Wilfred akimkabidhi jezi ya Timu ya Taifa Balozi wa Tanzania Nchini Misri, Dk. Emmanuel Nchimbi kuelekea mchezo dhidi ya Uganda mchezo wa kufuzu AFCON 2023.
Live: UGANDA vs TAIFA STARS, JE, WATANZANIA WATAFUZU AFCON? FAHAMU KILA KITU HAPA... | UCHAMBUZI Karibu ...
WATCH WASAFI TVπΊ AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM π» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI π» | 104.1 DODOMA π» | 94.5 ARUSHA π» | 97.3 MBEYA π» | 94.9 MWANZA π» | SHINYANGA 106.3 π» | KIGOMA 101.7 π» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ πͺππππππππ Β©2021 πΎπππππ π΄ππ ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
Lisikie neno la Feisal Salum Abdalah katika siku ya kwanza akiwa katika kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) iliyopo mjini Ismailia nchini Misri ikijiandaa kukipiga dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa kufuzu #Afcon2023 Ijumaa ya Machi 24