Content removal request!


KUTOKA MISRI | Kauli ya Fei Toto baada ya kutua Misri

Lisikie neno la Feisal Salum Abdalah katika siku ya kwanza akiwa katika kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) iliyopo mjini Ismailia nchini Misri ikijiandaa kukipiga dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa kufuzu #Afcon2023 Ijumaa ya Machi 24