SIMBA 4-5 SEVILLA, 23 may, full highlight Magoli yote ya simba vs sevilla SPORT PESA CHALLENGE
SIMBA 4-5 SEVILLA, 23 may, full highlight Magoli yote ya simba vs sevilla SPORT PESA CHALLENGE

Simba vs sevilla sportpesa challenge match Ilikua ni match ya kirafiliki ya sport pesa challenge iliyofanyika tanzania uwanja wa taifa na matokeo yamekua ni simba 4 sevilla 5 Usisahau ku subscribe.



#TheShirt - Eugene Mukangula
#TheShirt - Eugene Mukangula

Find out who inspired @AFCLeopards midfielder Eugene Mukangula and what it means to him to wear #TheShirt You can WIN your very own AFC Leopards jersey by registering with SportPesa here: ow.ly/qAea30nYYp9 Winners to be selected at random. T&C applies.



Mwalimu Kashasha: Al Ahly ni Hatari, Simba Waache Mpira wa Makofi,
Mwalimu Kashasha: Al Ahly ni Hatari, Simba Waache Mpira wa Makofi,

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Umaarufu wa Mwalimu Kashasha umekuja kasi kutokana na utamaduni wake wa kupenda kuchambua mchezo wa soka kwa kutumia misemo yenye mvuto wa aina yake. #Sportpesa Cup2019 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Simba  Yashinda Rufaa dhidi ya Afc Leopards, Sportpesa Cup
Simba Yashinda Rufaa dhidi ya Afc Leopards, Sportpesa Cup

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Alichokisema Kocha Wa Kariobangi Kuwafunga Yanga Sport Pesa
Alichokisema Kocha Wa Kariobangi Kuwafunga Yanga Sport Pesa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIKOSI cha Yanga, leo kimepoteza mchezo wake wa kombe la SportPesa ikiwa ni hatua ya robo fainali kwa kukubali kufungwa mabao 3-2 dhidi ya KK Sharks ya Kenya mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa. Michuano ya SportPesa Cup ambayo kwa sasa ni msimu wake wa tatu imeshirikisha timu nane ikiwa ni nne kutoka Tanzania ambazo ni Singida United, Simba, Mbao na Yanga na zile za kutoka Kenya ni pamoja na KK Sharks, Bandari, AFC Leopards na Gor Mahia ambao ni mabingwa watetezi. Kipindi cha kwanza Yanga walikubali kupoteza kutokana na uzembe wa mabeki ambapo dakika ya 9 KK Sharks waliandika bao la kwanza kupitia kwa Abuye Duke na baada ya kuzidisha mashambulizi wakaandika bao la pili dakika ya 37 kupitia kwa Abege George. Mpaka kipindi cha kwanza kinakamilika Yanga walikuwa nyuma kwa mabao mawili, kipindi cha pili baada ya kufanya mabadiliko kwa kumtoa Haruna Moshi na kuingia Amiss Tambwe pamoja na Abdallah Shaibu na kuingia Thaban Kamusoko, Mrisho Ngassa nafasi yake kuchukuliwa na Deus Kaseke pamoja na Paul Godfery nafasi yake kuchukuliwa na Juma Abdul kasi ya Yanga ilianza kuonekana. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Tarimba: Simba, Yanga Hatutaki Masihara,  SportPesa Awapa Kazi
Tarimba: Simba, Yanga Hatutaki Masihara, SportPesa Awapa Kazi

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MKURUGENZI wa utawala na udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbasi, amezitaka klabu za Simba na Yanga kuacha masihara na badala yake kuhakikisha wanachukua ubingwa wa #SportPesa Super Cup. Kauli hiyo ameitoa leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho jijini Dar inahusisha jumla ya timu nane nne za nchini Tanzania ambazo ni Simba, Yanga,Mbao na Singida United na za kutoka Kenya ni Gor Mahia ambaye ni bingwa mtetezi, AFC Leopard, Bandari na KK Sharks. "Haiwezekani tena safari hii ubingwa wa michuano hii uende Kenya kama ilivyofanyika miaka miwili iliyopita, hivyo ni lazima timu za nchini kupambana kuhakikisha wanaubakisha ubingwa hapa nchini. " Tayari nimekutana na viongozi wa Simba, Yanga, Mbao FC na Singida Utd nikiwasisitizia ubingwa ubaki nyumbani. "Nimewaambia waache mzaha kabisa kwa kutumia wachezaji wa vikosi vya pili na badala yake kuwatumia wale wa kikosi cha kwanza. "Mara kadhaa tumeziona Simba na Yanga wakitumia wachezaji wa kikosi cha pili, hivyo mwaka huu hatutaki kitu hicho kitokee kikubwa tunataka ubingwa," alisema Tarimba. Bingwa wa michuano hii anatarajiwa kujichotea dola elfu 30 (Shilingi milioni 70). Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars




« Previous Next »


Popular Tags

#Stephen Curry  #Goal Celebrations  #Football Defensive Skills  #LeBron James  #Chicago Bulls  #Kevin Durant  #Paul George  #Zlatan Ibrahimovi  #Best Goalkeeper Saves  #Goalkeeper Saves  

Popular Users

#RyanBabel  #LAKings  #nfl  #KingJames  #ArianaGrande  #YouTube  #baseballpro  #DanicaPatrick  #SimplyAJ10  #SHAQ  #AdamSchefter  #akshaykumar  #Joey7Barton  #justinbieber