Jean Charles Ahoua amepiga hattrick Simba ikiinyuka Pamba Jiji FC kichapo cha mabao 5-1 kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Ahoua amefunga magoli yake dakika ya 16' kwa penati, 37' na 48' huku mawili yakifungwa na Lionel Ateba Mbida dakika ya 80 na 84. Goli pekee la kufutia machozi kwa Pamba limefungwa na Mathew Momanyi Tegis dakika ya 86....
Simba Vs Mashujaa Simba Leo Simba Vs Mashujaa Live Simba Vs Mashujaa Live Leo Simba Vs Mashujaa Leo Live Simba Vs Mashujaa Leo Simba Vs Mashujaa Highlights Simba Vs Mashujaa Magoli Simba 2-1 Mashujaa Simba Vs Mashujaa 2-1 Kikosi Cha Simba Kikosi Cha Simba Leo Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo Goli La Kibaya Dhidi Ya Simba Goli La Japhary Kibaya Dhidi Ya Simba Goli La Ateba Dhidi Ya Mashujaa Goli La Ateba Vs Mashujaa Magoli Ya Ateba Dhidi Ya Mashujaa #SimbaSc #AzamTv #Simba #NbcPl #MoDewji #AhmedAlly #Alikamwe
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Mashujaa FC. Simba imeshinda kwa jumla ya magoli 2-1. Magoli ya Simba yamefungwa na Leonel Ateba kwa mikwaju ya penati. Goli la Mashujaa limefungwa na Jafary Kibaya
#MuunganoCup2025: Tazama golikipa wa Yanga SC, Abuutwalib Mshery alivyoonesha umahiri wake katika kupangua mikwaju ya penati. Fainali ni JKU dhidi ya Yanga SC, Alhamisi Mei 1, 2025 saa 1:15 usiku FT’: Zimamoto 1-1 Yanga SC (Pen:1-3) #TanzaniaUnionSuperLeague #TUSL #MuunganoCup2025 #MuunganoCup #KombeLaMuungano #SuperLeague #YeNaniAsife #Zimamoto #YangaSC #ZimamotoYanga
#MuunganoCup2025: Mikwaju ya peanati iliyowatupa nje Singida Black Stars baada ya kumaliza dakika 90 kwa sare ya 2-2 FT’: JKU SC 2-2 Singida BS (penati: 6-5) #TanzaniaUnionSuperLeague #TUSL #MuunganoCup2025 #MuunganoCup #KombeLaMuungano #JKUSC #SingidaBlackStars
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 📱 Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi