LIVE CROWN SPORTS; OKELLO NI MOTO WA KUTISHA/ CHAMA AMEZALIWA UPYA/ WACHEZAJI AZAM FC WALA SUMU WALAZWA HOSPITAL/ TUZO ZA BMT ZAZUA KIZAAZAA/ NBCPL IMENOGA.
#NBCPL: Tazama magoli yote matano yaliyofungwa kwenye mchezo wa NBC Premier League kati TRA United dhidi ya Azam FC. FT: TRA United 4-1 Azam FC Magoli ya TRA United yamefungwa na Ally Ng'azi, Ammy Mapaka na Ramadhan Salum 'Chobwedo' Goli la Azam FC limefungwa na Jephte Kitambala Bola. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TRAUnitedvsAzamFC #TRAUnited #AzamFC #TRAUnitedAzamFC
Itazame Dar es Salaam, itazame Benjamin Mkapa, watazame watani wa jadi…!!! #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KariakooDerby #DabiYaKariakoo #HainaKipengele #YangaSC #SimbaSC #YangaSimba #WataniWaJadi
Yanga SC imeichakaza Tanzania Prisons kwa kichapo cha mabao 5-0 kwenye mchezo wa raundi ya 29 Lig kuu ya NBC uliopigwa Sokoine Stadium, Mbeya... Pacome Zouzoua amefunga magoli mawili, huku mengine yakitoka kwa Mudathir Yahya aliyefungua milango dakika ya 31, Clatous Chama, na Israel Mwenda..
Steven Mukwala amefunga goli pekee na la ushindi kwa Simba, dhidi ya Singida Black Stars, mchezo wa Ligi Kuuya NBC uliopigwa kwenye Dimba la KMC, Mwenge Dar es Salaam.
#simbasc #simba #NguvuMoja #ligikuutanzaniabara #NBCPremierLeague #simba #bongo #bongotrending #tikitok #kenya #kenya #kenyantiktok🇰🇪 #kenyancomedy #tikitoktanzania🇹🇿 #simbachallenge #simba #kenya #kenyantiktok #kenyantiktok🇰🇪 #kenyatiktok #kenyatrending #bongofleva #simbasc #NguvuMoja #TotalEnergiesCAFCC #yangasc #yanga #timuyawananchi #prison #ligikuutanzaniabara #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPremierLeague #kenya #kenyantiktok #kenyantiktok🇰🇪 #kenyatiktok #kenyatrending #bongofleva #tanzaniatiktok #tanzania #tanzania🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #bongo #bongotrending #mpanzu #dube Young Africans Sports Club @Prisons #mpekeo_mtandala #simba #nguvumoja #simbasc #simbatanzania #mpenja #yangasc #kenya #kenyantiktok #rsberkane #mpekeo_mtandala
Jean Charles Ahoua amepiga hattrick Simba ikiinyuka Pamba Jiji FC kichapo cha mabao 5-1 kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Ahoua amefunga magoli yake dakika ya 16' kwa penati, 37' na 48' huku mawili yakifungwa na Lionel Ateba Mbida dakika ya 80 na 84. Goli pekee la kufutia machozi kwa Pamba limefungwa na Mathew Momanyi Tegis dakika ya 86....
Fabrice Ngoma amefunga goli pekee lililowapa Simba ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya JKT Tanzania, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam.