Simba yaichapa Carabat FC 2-0, Bajaber, Sowah wacheka na nyavu
Simba yaichapa Carabat FC 2-0, Bajaber, Sowah wacheka na nyavu

KUTOKA MISRI: Kikosi cha Simba kilichopo Misri, katika maandalizi ya msimu mpya wa NBC Premier League na mashindano ya kimataifa, kimecheza mchezo wa kwanza wa kirafiki wa kujipima nguvu na timu ya Carabat FC, ambapo Mnyama ameshinda magoli 2-0. Goli la kwanza lilifungwa kipindi cha kwanza na mchezaji Mohammed Bajaber huku goli la pili likifugwa kipindi cha pili na Jonathan Sowah. Wachezaji wote wawili wamesajiliwa msimu huu. #Simba #KambiYaSimba

KAZI IMEANZA KWENYE KAMBI YA MNYAMA HAPA MISRI HAKUNA KUPOA MAANDALIZI YA MSIMU MPYAA
KAZI IMEANZA KWENYE KAMBI YA MNYAMA HAPA MISRI HAKUNA KUPOA MAANDALIZI YA MSIMU MPYAA

SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 📱 Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

🔴 #LIVE: MNYAMA AFA KIUME FAINALI / SIMBA WANAFUNGUKA YOTE / MADAI YA REFA (SPORTS ARENA 26/5/2025)
🔴 #LIVE: MNYAMA AFA KIUME FAINALI / SIMBA WANAFUNGUKA YOTE / MADAI YA REFA (SPORTS ARENA 26/5/2025)

🔴 #LIVE: MNYAMA AFA KIUME FAINALI / SIMBA WANAFUNGUKA YOTE / MADAI YA REFA (SPORTS ARENA 26/5/2025)

LIVE : UBAYA UBWELA UMEHAMIA KWA JKT/ FEITOTO BIDHAA ADIMU DIRISHA LA USAJILI/NINI SHIDA YA WAAMUZI?
LIVE : UBAYA UBWELA UMEHAMIA KWA JKT/ FEITOTO BIDHAA ADIMU DIRISHA LA USAJILI/NINI SHIDA YA WAAMUZI?

LIVE : UBAYA UBWELA WA MNYAMA SIMBA UMEHAMIA KWA JKT/ FEITOTO BIDHAA ADIMU DIRISHA LA USAJILI/ NINI SHIDA YA WAAMUZI WA LIGI KUU YA BONGO?

LIVE: MNYAMA HANA MPINZANI AFRIKA ATINGA FAINALI YA CAF KIBABE/ YANGA & AZAM MACHO YOTE MUUNGANO CUP

« Previous Next »

Popular Tags

#Best Goals  #Stephen Curry  #Football Defensive Skills  #Best Football Defending Skills  #Best Ball Controls  #Cristiano Ronaldo  #Paul Pogba  #Shot Goals  #Zlatan Ibrahimovi  #Best Goalkeeper Saves  

Popular Users

#darrenrovell  #elonmusk  #MariaSharapova  #YouTube  #sydneyleroux  #britneyspears  #JohnCena  #BaileyLAKings  #ArianFoster  #justinbieber  #IAmJericho  #LilTunechi  #NiallOfficial  #Oprah  #narendramodi