Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwenda Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 2024/25, huku Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Ahmed Ally amezungumza na wanahabari kuhusu sintofahamu ya usajili wa beki Lameck Lawi. Ahmed amesema sakata hilo litamalizwa na mabaraza ya kisheria ya soka lakini wao wanatambua kuwa ni mchezaji wao halali kwani pesa za usajili walitoa kwa mchezaji huyo pamoja na timu yake. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
SUBSCRIBE NOW: ๐ Site: https://simbasc.co.tz/ ๐ฑ App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 ๐ฑ Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en ๐ต Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ ๐ธ Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania ๐ Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania ๐ถ Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference ๐ต๐ดโช #NguvuMoja #Wenyenchi
manara #simba #ligikuu #usajilimpyayanga #cafcl #yangaleo #yanga #yangatv #yangatv #simbasc #mayele.
Miamba wa Misri, Al Ahly kwa mara nyingine tena wametwaa ubingwa wa bara Afrika baada kuwashinda Esperance wa Tusia ...