SIMBA Vs BERKANE: HUYU HAPA NABII ALIYETABIRI MARA TATU  SIMBA KUFUNGWA GOLI MBILI
SIMBA Vs BERKANE: HUYU HAPA NABII ALIYETABIRI MARA TATU SIMBA KUFUNGWA GOLI MBILI

Akiwa katika ibaza zake za Live, Siku nne kabla ya Simba Kucheza: https://www.youtube.com/live/d55YbVznn6Y?si=ANL0k9BS733liNW- Katika video hii Dakika 1:16:51 Nabii alisema kwa uwazi alichokiona! Na Siku tatu kabla ya Mchezo tena akarudia: Utaona Link hii : https://www.youtube.com/live/NmwbsCA1lLw?si=Rs_uW9SqPCbRwJqM (Dakika ya 2:8:35) Na siku ya Mechi : https://www.youtube.com/live/wkN2dWDXqss?si=m3xlV_sd8b3jK6Un (Dakika ya 1:14:18) HAKIKA BWANA HAFANYI Neno lolote bila kuwafunulia siri zake manabii wake (Amos 3:7) LIKE, SHARE & SUBSCRIBE!



Menang Pingat Emas Olimpik Sebab Nasib?🥇
Menang Pingat Emas Olimpik Sebab Nasib?🥇

Ini bukan kisah kemenangan biasa. Stephen Bradbury bermula di tempat terakhir dalam setiap perlumbaan — tapi entah macam mana, satu demi satu pesaingnya jatuh, dan dia terus mara… hingga menang EMAS OLIMPIK! 😱 #StephenBradbury #OlympicGold #WinterOlympics #UnderdogStory #Inspiration #Motivation #TrueStory #ViralStory #SpeedSkating #AustraliaOlympics #SportsHistory #NeverGiveUp #KisahBenar #Sukan #EmasOlimpik



SIMBA SC YAONYWA? MASTAA WA STELLENBOSCH WAFUNGUKA MAANDALIZI YAO KABLA YA NUSU FAINALI YA CAFCC
SIMBA SC YAONYWA? MASTAA WA STELLENBOSCH WAFUNGUKA MAANDALIZI YAO KABLA YA NUSU FAINALI YA CAFCC

Kwa mara nyingine tena macho na masikio ya wapenda soka la Afrika yataelekezwa visiwani Zanzibar, Jumapili hii, pale Simba SC ya Tanzania itakapoumana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho la CAFCC utakaopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Aprili 20, 2025. Katika kuelekea mchezo huo wa kusisimua, wachezaji wa Stellenbosch FC wameelezea maandalizi yao wakianzia ugenini katika mashindano haya. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



HUU HAPA UWANJA MPYA WA SINGIDA BLACK STARS KUZINDULIWA LEO.
HUU HAPA UWANJA MPYA WA SINGIDA BLACK STARS KUZINDULIWA LEO.

Jumatatu, Machi 24, 2025, ni siku ya kihistoria kwa wapenda soka wa Mkoa wa Singida na taifa kwa ujumla, kwani klabu ya Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wake mpya. Uzinduzi huu ni hatua kubwa kwa klabu hiyo, ambayo imeendelea kuwekeza katika miundombinu ya michezo ili kuinua kiwango cha soka nchini. Uwanja huo uliopo Mtipa mkoani Singida, umejengwa kwa viwango vya kisasa ukiwa na nyasi bandia kwa kushirikiana na wadhamini wakuu wakiwamo Airtel, Azam, GSM, NBC, SBS, na MO Dewji. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000 hadi 7,000 na unatarajiwa kuwa kitovu cha mashindano makubwa ya kitaifa na kimataifa. Sherehe za uzinduzi zinatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na michezo, huku mgeni rasmi akiwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA. Aidha, viongozi wa TFF nao wanatarajiwa kushiriki. Burudani mbalimbali zimetayarishwa kabla ya mechi kuu, ikiwa ni pamoja na muziki kutoka kwa wasanii maarufu wa Bongo Fleva, michezo ya asili, na maonesho ya utamaduni wa Kisingida. Mashabiki watapata fursa ya kushuhudia historia ikiandikwa kwa mara ya kwanza kwenye uwanja huu mpya. Kilele cha tukio hili kitakuwa ni mchezo wa kirafiki kati ya wenyeji Singida Black Stars na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC utakaochezwa kuanzia saa 10 jioni. Mechi hii inatajwa kuwa ya kuvutia kutokana na nafasi za timu hizi katika msimamo wa ligi, ambapo Yanga wanaongoza kwa pointi 58 huku Singida Black Stars wakiwa nafasi ya nne na pointi 44. Licha ya kuwa mechi ya kirafiki, upinzani baina ya timu hizi mbili umeibua hamasa kubwa kwa mashabiki. Singida Black Stars wanataka kutumia uwanja wao mpya kuonyesha ubabe wao, huku Yanga wakitaka kuendeleza rekodi yao nzuri dhidi ya wapinzani wao.



2025 MLB Season Preview | 90% Mental 1/2 Physical Episode 1
2025 MLB Season Preview | 90% Mental 1/2 Physical Episode 1

This week, James glazes the Red Sox while Mara fails horribly to remember or pronounce the name of the show. They both also ...



EL DEBUT de ADAY MARA ES una LOCURA | HIGHLIGHTS UCLA vs UTAH STATE | Carlesinha
EL DEBUT de ADAY MARA ES una LOCURA | HIGHLIGHTS UCLA vs UTAH STATE | Carlesinha

SUSCRÍBETE AL CANAL: https://www.youtube.com/@Carlesinha TWITTER: https://x.com/parrizas_Carlos TIKTOK: ...



REACTION: ADAY MARA & UCLA DOMINATE Utah State In NCAA Tournament! Bruins Move On IN March Madness!
REACTION: ADAY MARA & UCLA DOMINATE Utah State In NCAA Tournament! Bruins Move On IN March Madness!

UCLA Bruins basketball fans, get ready for an exhilarating breakdown of the Bruins' commanding 72-47 victory over Utah State in ...




« Previous Next »


Popular Tags

#Neymar  #LeBron James  #Best Goals Ever  #Stephen Curry  #Football Skills  #Best Ball Controls  #Tristan Thompson  #Paul George  #Thomas Muller  #Michael Jordan  

Popular Users

#nytimes  #_BAnderson30_  #BarackObama  #BillGates  #jadande  #justinbieber  #imVkohli  #itsBayleyWWE  #NiallOfficial  #BMcCarthy32  #AntDavis23  #si_vault  #Buccigross  #nfl  #J_No24