✍Simba SC hawakuwa katika ubora ambao wenyewe wangetamani lakini wamevuna alama 3 , katika mechi zote za msimu ngumu mechi zote ucheze kwa kiwango cha juu , muhimu ni kukusanya alama tatu ndio waliciofanya leo dhidi ya Dodoma FC ambao hawakuonesha madhara kwenda mbele . ✍Dodoma FC dakika kama 5 au 10 za mwanzo walianza na BACK 3 lakini wakaibadilisha haraka na kwenda 4-3-3 wakiwa na mpira na 4-4-2 bila mpira , hawakutaka kuzidiwa idadi ya wachezaji katikati ya uwanja na pembeni ya uwanja... lakini bado mara kadhaa waliacha spaces kubwa sana baina ya mstari mmoja na mwingine na mchezaji kwa mchezaji ✍Ni Simba tu wenyewe , Dodoma ni kama vile hawakuwa na mpango au maono ya kutafuta goli, walikuwa tayari kufungwa ( Dodoma was there for taking ) ...Simba hasa kipindi cha kwanza walikuwa slow sana , umakini unakosekana , walikuwa wanacheza kama wanaongoza 3 au 4 , mpira haukutembea kwa haraka kutoka sehemu moja kwenda nyingine ...viungo watatu ( Chama Nyoni Mzamiru ) + mawinga wawili ( Banda na Sakho ) wote wanacheza mbele ya Dodoma ...hakukuwa na mikimbio ya kutosha nyuma ya kiungo cha Dodoma na safu ya ulinzi ya Dodoma ( Easy to defend ) ✍Nafikiri Dodoma walicheza bila imani kwamba wanaweza kufunga au kupata chochote kitu dhidi ya Simba ,kuna muda walikuwa " Casual " sana , jinsi idadi ya mipira waliyokuwa wanapoteza kirahisi , iwe kwenye kiungo mpaka pembeni ya uwanja ( Sloppy ) nafikiri hata Wawa na Onyango wanaweza wakaangaliana na kujiuliza " Hivi leo mbona hatuna kitu cha kuzuia ? " 😀 NOTE 1: George Wawa sijui alikuwa anafikiria nini ? Alijua refa hatomuona kushika mpira kwa staili ile ? Doh 😀😀 na bado akabisha,Chama Jr alituliza akili licha ya wachezaji wa Dodoma kumfanyia " Mind game" 2: Cleophace Mkandala ..amekosa tu msaada kutoka kwa wenzake,maana ndio mchezaji pekee ambaye akiwa na mpira ndio unaona anaweza kufanya jambo. 3: Positive nyingine kwa Simba ukiacha alama 3 ni kurejea kutoka kwenye majeraha baadhi ya wachezaji 4: Peter Banda hakuacha kujaribu kutengeneza nafasi mpaka akapata assist yake kwa Kagere. Never give up 5: Dodoma inaonekana bado inasukwa ..muda unakimbia FT: Simba 2-0 Dodoma FC

#INDvSL #Cricket Nick shares his thoughts and analysis of the first T20 International match in Sri Lanka’ tour of India. Share your thoughts below. Please like and subscribe. Nick's Cricket Stories: How to Play Cricket: https://youtu.be/sDBLSbA_ka8 What is Cricket?: https://youtu.be/uKzeELkpDkQ Channel artwork and logos done by Varun Kumar @varunkumar3000 Nick's Microphone is a Maono AU-A04 affordable mic. You can get yours using our link: https://www.maono.com/products/usb-microphone-kit-maono-au-a04 You can make requests as always. If you are a Patron for $1, $2, &3, or $7, $10 or $15 your requests will be heard much louder. The likelihood of them being heard within seven days and posted increase dramatically. Support Boring Reviews in a great way by becoming a Patron: https://www.patreon.com/preview/9d1e1ea1372d4a0f9ed1dae099f44edd Our first channel is called Boring Reviews. It’s all about movies and cricket. We have about twenty plus cricket videos over there. Check it out at: https://m.youtube.com/channel/UCyFXQV7dqk7b6twRZLtHTlg Our newest channel is called The Final Reaction. It is dedicated to Hollywood film reactions, reviews, and so much more. These are films we have a lifelong background in. Join us for the ride. If you like to read, I’ve written an original novel. It is an epic story set as a western but much more than that. Here is the link to get your copy: https://www.amazon.com/gp/aw/d/1612963080/ref=tmm_pap_title_0?ie=UTF8&qid=1563919202&sr=8-2 If you want to get a hold of us or do business with us: boringreviewnation@gmail.com Let’s get to 25,000 subscribers!
#Cricket #WIvIND #CricketConvos Nick & Gabe discuss the recent West Indies tour of India and share their thoughts on the series. It was a pure whitewash and they share their finest and worst memories of this tour. Original video found: https://youtu.be/LqTMUG-rLK8 Nick's Cricket Stories: How to Play Cricket: https://youtu.be/sDBLSbA_ka8 What is Cricket?: https://youtu.be/uKzeELkpDkQ Channel artwork and logos done by Varun Kumar @varunkumar3000 Nick's Microphone is a Maono AU-A04 affordable mic. You can get yours using our link: https://www.maono.com/products/usb-microphone-kit-maono-au-a04 You can make requests as always. If you are a Patron for $1, $2, &3, or $7, $10 or $15 your requests will be heard much louder. The likelihood of them being heard within seven days and posted increase dramatically. Support Boring Reviews in a great way by becoming a Patron: https://www.patreon.com/preview/9d1e1ea1372d4a0f9ed1dae099f44edd Our first channel is called Boring Reviews. It’s all about movies and cricket. We have about twenty plus cricket videos over there. Check it out at: https://m.youtube.com/channel/UCyFXQV7dqk7b6twRZLtHTlg Our newest channel is called The Final Reaction. It is dedicated to Hollywood film reactions, reviews, and so much more. These are films we have a lifelong background in. Join us for the ride. If you like to read, I’ve written an original novel. It is an epic story set as a western but much more than that. Here is the link to get your copy: https://www.amazon.com/gp/aw/d/1612963080/ref=tmm_pap_title_0?ie=UTF8&qid=1563919202&sr=8-2 If you want to get a hold of us or do business with us: boringreviewnation@gmail.com Let’s get to 25,000 subscribers!
#SACricket #IndiaCricket South Africa finished this six match tour with India in very impressive fashion. Nick shares his impressions of the results of this tour. Nick's Cricket Stories: How to Play Cricket: https://youtu.be/sDBLSbA_ka8 What is Cricket?: https://youtu.be/uKzeELkpDkQ Channel artwork and logos done by Varun Kumar @varunkumar3000 Nick's Microphone is a Maono AU-A04 affordable mic. You can get yours using our link: https://www.maono.com/products/usb-microphone-kit-maono-au-a04 You can make requests as always. If you are a Patron for $1, $2, &3, or $7, $10 or $15 your requests will be heard much louder. The likelihood of them being heard within seven days and posted increase dramatically. Support Boring Reviews in a great way by becoming a Patron: https://www.patreon.com/preview/9d1e1ea1372d4a0f9ed1dae099f44edd Our first channel is called Boring Reviews. It’s all about movies and cricket. We have about twenty plus cricket videos over there. Check it out at: https://m.youtube.com/channel/UCyFXQV7dqk7b6twRZLtHTlg Our newest channel is called The Final Reaction. It is dedicated to Hollywood film reactions, reviews, and so much more. These are films we have a lifelong background in. Join us for the ride. If you like to read, I’ve written an original novel. It is an epic story set as a western but much more than that. Here is the link to get your copy: https://www.amazon.com/gp/aw/d/1612963080/ref=tmm_pap_title_0?ie=UTF8&qid=1563919202&sr=8-2 If you want to get a hold of us or do business with us: boringreviewnation@gmail.com Let’s get to 25,000 subscribers!
#Cricket Nick shares his thoughts on this second match between India and South Africa in Johannesburg. They outlasted and fought their way to victory. Nick shares Pant’s struggles and how they can help him improve. Nick's Cricket Stories: How to Play Cricket: https://youtu.be/sDBLSbA_ka8 What is Cricket?: https://youtu.be/uKzeELkpDkQ Channel artwork and logos done by Varun Kumar @varunkumar3000 Nick's Microphone is a Maono AU-A04 affordable mic. You can get yours using our link: https://www.maono.com/products/usb-microphone-kit-maono-au-a04 You can make requests as always. If you are a Patron for $1, $2, &3, or $7, $10 or $15 your requests will be heard much louder. The likelihood of them being heard within seven days and posted increase dramatically. Support Boring Reviews in a great way by becoming a Patron: https://www.patreon.com/preview/9d1e1ea1372d4a0f9ed1dae099f44edd Our first channel is called Boring Reviews. It’s all about movies and cricket. We have about twenty plus cricket videos over there. Check it out at: https://m.youtube.com/channel/UCyFXQV7dqk7b6twRZLtHTlg Our newest channel is called The Final Reaction. It is dedicated to Hollywood film reactions, reviews, and so much more. These are films we have a lifelong background in. Join us for the ride. If you like to read, I’ve written an original novel. It is an epic story set as a western but much more than that. Here is the link to get your copy: https://www.amazon.com/gp/aw/d/1612963080/ref=tmm_pap_title_0?ie=UTF8&qid=1563919202&sr=8-2 If you want to get a hold of us or do business with us: boringreviewnation@gmail.com Let’s get to 25,000 subscribers!
#ABdeVilliers Gabe and Nick react to an amazing display of batting from ABD at the 2015 WC in Australia against the Windies. ABD announced his retirement from all forms of cricket which means IPL as well. It is sad for fans but great to remember ABD with all of his glory. Original video found: https://youtu.be/6lAGFr-QEWw Nick's Microphone is a Maono AU-A04 affordable mic. You can get yours using our link: https://www.maono.com/products/usb-microphone-kit-maono-au-a04 You can make requests as always. If you are a Patron for $1, $2, &3, or $7, $10 or $15 your requests will be heard much louder. The likelihood of them being heard within seven days and posted increase dramatically. Support Boring Reviews in a great way by becoming a Patron: https://www.patreon.com/preview/9d1e1ea1372d4a0f9ed1dae099f44edd Our first channel is called Boring Reviews. It’s all about movies and cricket. We have about twenty plus cricket videos over there. Check it out at: https://m.youtube.com/channel/UCyFXQV7dqk7b6twRZLtHTlg Our newest channel is called The Final Reaction. It is dedicated to Hollywood film reactions, reviews, and so much more. These are films we have a lifelong background in. Join us for the ride. If you like to read, I’ve written an original novel. It is an epic story set as a western but much more than that. Here is the link to get your copy: https://www.amazon.com/gp/aw/d/1612963080/ref=tmm_pap_title_0?ie=UTF8&qid=1563919202&sr=8-2 If you want to get a hold of us or do business with us: boringreviewnation@gmail.com Let’s get to 25,000 subscribers!