Goli | Namungo FC 1-0 Coastal Union | NBCPL - 17/09/2022
Goli | Namungo FC 1-0 Coastal Union | NBCPL - 17/09/2022

NBCPL: Tazama goli la tano kwa Reliants Lusajo kwenye NBC Premier League akiipatia alama tatu Namungo kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union uliopigwa jana Jumamosi dimbani Majaliwa.



UTAMBULISHO NAMUNGO FC | Hiki hapa kikosi cha timu ya Namungo kwa msimu wa 2022/2023
UTAMBULISHO NAMUNGO FC | Hiki hapa kikosi cha timu ya Namungo kwa msimu wa 2022/2023

Katika hafla ya kuzindua Uwanja wao mpya wa Majaliwa, timu ya Namungo ilitambulisha pia Benchi la Ufundi na Wachezaji wa ...



๐Ÿ”ด#TBCLIVE: NAMUNGO FC (0) VS (0) RUVU SHOOTING (UWANJA WA MAJALIWA, LINDI)
๐Ÿ”ด#TBCLIVE: NAMUNGO FC (0) VS (0) RUVU SHOOTING (UWANJA WA MAJALIWA, LINDI)

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya โ€œTBC Liveโ€ TBC Live ...



Mchezaji anayevaa ushungi Uwanjani afunguka kupewa tuzo Afrika Kusini
Mchezaji anayevaa ushungi Uwanjani afunguka kupewa tuzo Afrika Kusini

Mchezaji anae Vaa kiislamu Uwanjani afunguka kupewa tuzo south africa Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



SIMBA YAIKIMBIZA YANGA NDANI YA DK 450, KAZI JULAI 3|Simba kuimaliza Yanga?
SIMBA YAIKIMBIZA YANGA NDANI YA DK 450, KAZI JULAI 3|Simba kuimaliza Yanga?

ZIKIWA zimebeki siku tatu kwa watani wa jadi, Simba na Yanga kukutana Uwanja wa Mkapa, rekodi zinaonyesha kuwa makocha wawili Didier Gomes wa Simba na Nassredine Nabi wa Yanga walikuwa na kazi ya kukimbizana ndani ya dk 450. Kwenye mechi zao tano za hivi karibuni kwenye ligi Gomes alionekana kumkimbiza Nabi kwa kusepa na pointi nyingi ambazo ni 15 huku Nabi akisepa na pointi zake 10. Ni Gomes raia wa Ufaransa alishinda mechi zake 5 alizokaa kwenye benchi na alishuhudia jumla ya mabao 14 wachezaji wake wakifunga na mabao matatu waliokota kwenye nyavu zao. Ndani ya dakika 450 msako wa pointi 15 Simba ilisepa na pointi zote mazima ambapo ugenini ilikuwa kwenye mechi tatu na nyumbani ilikuwa kwenye mechi mbili. Mwendo wa Gomes ulikuwa namna hii:-Aprili 27, Simba 3-1 Dodoma Jiji,Uwanja wa Mkapa, Mei 29, Namungo 1-3 Simba,Uwanja wa Majaliwa, Juni 3, Ruvu Shooting 0-3 Simba, uwanja wa CCM Kirumba, Juni 19, Polisi Tanzania 0-1 Simba, Uwanja wa CCM Kirumba, Juni 22, Simba 4-1 Mbeya City, Uwanja wa Mkapa. Kwa upande wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi katika mechi tano ambazo ni dk 450, Yanga ilipoteza mchezo mmoja, sare moja na ushindi katika mechi tatu. Ilikuwa msako wa pointi 15, Nabi alisepa na pointi 10 na kuyeyusha pointi tano mazima huku wachezaji wake wakifunga jumla ya mabao 8 na kufungwa mabao matano. Mwendo wake ulikuwa namna hii:-Aprili 25, Yanga 0-1 Azam FC, Uwanja wa Mkapa, Mei 15, Namungo 0-0 Yanga, Uwanja wa Majaliwa, Mei 19, JKT Tanzania 0-2 Yanga, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Juni 17, Ruvu Shooting 2-3 Yanga, Uwanja wa Mkapa, Juni 20, Yanga 3-2 Mwadui FC.



๐‹๐ˆ๐•๐„๐Ÿ”ด:NAMUNGO FC VS AZAM FC | MAJALIWA STADIUM
๐‹๐ˆ๐•๐„๐Ÿ”ด:NAMUNGO FC VS AZAM FC | MAJALIWA STADIUM

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri ย ๐‹๐ˆ๐•๐„๐Ÿ”ด:NAMUNGO FC VS AZAM FC | MAJALIWA STADIUM ย #Bonatv #Exclusive ย #kirafiki



๐Ÿ”ด#LIVE: NAMUNGO FC vs AZAM FC ( 0 - 0 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MAJALIWA..
๐Ÿ”ด#LIVE: NAMUNGO FC vs AZAM FC ( 0 - 0 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MAJALIWA..

๐Ÿ”ด#LIVE: NAMUNGO FC vs AZAM FC ( 0 - 0 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MAJALIWA.. Karibu utazame dakika 90 za mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya NAMUNGO FC vs AZAM FC, unaochezwa leo Juni 21 katika uwanja wa Majaliwa jijini Dar. โšซ๏ธ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: โšซ๏ธ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 โšซ๏ธ iOS:https://apple.co/38HjiCx โšซ๏ธ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline โšซ๏ธ JE, NA WEWE UNA HABARI? โšซ๏ธ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) โšซ๏ธ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com โšซ๏ธ OUR PLAYLISTS: โšซ๏ธ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 โšซ๏ธ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua โšซ๏ธ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio โšซ๏ธ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews โšซ๏ธ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



Magoli  | Namungo FC 1-1 Tanzania Prisons | VPL 02/06/2021
Magoli | Namungo FC 1-1 Tanzania Prisons | VPL 02/06/2021

NAMUNGO VS PRISONS: Namungo FC wamebanwa mbavu na Tanzania Prisons, wakilazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Majaliwa, Lindi. Magoli yote mawili yamepatikana kipindi cha pili, Prisons wakitangulia kupata bao kupitia kwa Jeremiah Juma Ali kabla ya wenyeji Namungo kuchomoa kupitia kwa Abeid Athuman. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- โ–บINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ โ–บINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ โ–บTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz โ–บFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz โ–บWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Boston Celtics  #Luis Suarez  #Anthony Davis  #Gareth Bale  #Miami Heat  #Neymar  #Goal Celebrations  #Franck Ribery  #Best Ball Controls  #Paul George  

Popular Users

#DwyaneWade  #BarackObama  #BillGates  #J_No24  #wizkhalifa  #JLo  #RyanBabel  #cesc4official  #BadgerMBB  #_BAnderson30_  #rioferdy5  #espn  #sydneyleroux  #obj  #NiallOfficial