Kwa mara nyingine tena macho na masikio ya wapenda soka la Afrika yataelekezwa visiwani Zanzibar, Jumapili hii, pale Simba SC ya Tanzania itakapoumana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho la CAFCC utakaopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Aprili 20, 2025. Katika kuelekea mchezo huo wa kusisimua, wachezaji wa Stellenbosch FC wameelezea maandalizi yao wakianzia ugenini katika mashindano haya. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Kumezuka vurugu Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya msafara wa klabu ya Simba kuzuiwa kuingia uwanjani hapo kufanya mazoezi ya mwisho leo Machi 7, 2025 kuelekea Dabi ya Kariakoo kesho na wale wanaodaiwa ni makomandoo wa Yanga . #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Ofisa Habari wa JKT Tanzania, Masau Bwire amesema kitendo cha kutoka suluhu na Yanga imedhihirisha udhaifu wa wapinzani wao. Ameyasema hayo baada ya kutoka 0-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa leo Februari 10, 2025 kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam. "Uwezo wao (Yanga) bado ni mdogo kwa JKT Tanzania, na kwa sasa tulivyo tukikutana nao popote ama kwa hakika kichapo cha kizalendo lazima watakichezea," amesema Bwire. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. Video Credit @simbasctanzania255 #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Halima James Mdee na Ester Bulaya ambao ni wabunge wa viti maalum wameonyesha furaha yao baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mdee ameeleza kufurahishwa na kiwango bora cha wachezaji wa Yanga, akisisitiza umuhimu wa kuwapa moyo na kuwaunga mkono wakati huu mgumu, kwani itawasaidia kujituma zaidi kwenye mechi zijazo. Kwa upande wake, Bulaya ametamba kuwa Yanga ni timu yenye uwezo wa kupindua meza, akibainisha kuwa walikuwa na nafasi ya kufunga hata mabao matano katika mchezo huo uliochezwa leo Januari 4, 2025. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj