Ofisa Habari wa JKT Tanzania, Masau Bwire amesema kitendo cha kutoka suluhu na Yanga imedhihirisha udhaifu wa wapinzani wao. Ameyasema hayo baada ya kutoka 0-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa leo Februari 10, 2025 kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam. "Uwezo wao (Yanga) bado ni mdogo kwa JKT Tanzania, na kwa sasa tulivyo tukikutana nao popote ama kwa hakika kichapo cha kizalendo lazima watakichezea," amesema Bwire. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot