Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba SC wamepoteza mchezo wa pili kwenye ligi hiyo msimu huu kwa kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Kagera Sugar. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, Kagera ‘wamewapoteza’ Simba kipindi cha kwanza kwa kuonesha kandanda safi na kufanikiwa kupata mabao mawili yakifungwa na Kassim Khamis dakika ya 18 na Ramadhan Kapera dakika 41. Simba walifanya mabadiliko kipindi cha pili kwa kuwatoa Haruna Niyonzima na James Kotei nafasi zao zikichukuliwa na John Bocco na Hassan Dilunga, mabadiliko ambayo yaliwasaidia kupata bao moja likifungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 64. Ushindi wa Kagera Sugar dhidi ya Simba SC leo umeibeba kutoka nafasi ya 17 hadi nafasi ya 13 baada ya kufikisha pointi 39 huku Simba ikiendelea kusalia kwenye nafasi ya tatu na pointi 60.
Ligi kuu ya kandanda humu nchini itaendelea kesho ambapo Mount Kenya United inayovuta mkia itachuana na Vihiga United ugani Kenyatta, Machakos nayo Kakamega Homeboyz itakuwa mwenyeji wa Mathare United uwanjani Bukhungu.
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya kandanda humu nchini Gor Mahia wameimarisha kampeini yao ya kutetea taji lao, baada ya kuishinda Posta Rangers mabao 2 kwa 1 uwanjani moi mjini Kisumu. Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
Timu ya taifa ya kandanda ya Tanzania ya toka sare dhidi ya Libya SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Timu ya kandanda ya Arsenal yalaza West Brom mabao mawili kwa nunge mchuano ya ligi kuu Uingereza SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.