🔴#LIVE: YANGA WAGOMA KUCHEZA MECHI NA SIMBA, WAONDOKA UWANJANI MAPEMA, MASHABIKI WACHARUKA...
🔴#LIVE: YANGA WAGOMA KUCHEZA MECHI NA SIMBA, WAONDOKA UWANJANI MAPEMA, MASHABIKI WACHARUKA...

🔴#LIVE: YANGA WAGOMA KUCHEZA MECHI NA SIMBA, WAONDOKA UWANJANI MAPEMA, MASHABIKI WACHARUKA... Mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, uliopangwa kufanyika leo Jumamosi, kuanzia saa 1:00 jioni umehairishwa na Shirikisho la Soka Tanzania mpaka siku nyingine. Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara umeahirishwa kutokana na wachezaji wa Yanga na Benchi lao la Ufundi kuondoka katika uwanja wa Mkapa baada ya kuingia uwanjani saa 11:00 jioni na kusubiri kwa dakika 15 bila kumuona mpinzania wake, Simba uwanjani. Awali mchezo ulipangwa kuanza saa 11 jioni lakini ulisogezwa hadi saa 1 usiku. Wakati Yanga anaondoka, Simba nao wakaingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo tayari kwa kuingia uwanjani kukabiliana ya Yanga saa 1:00 usiku. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



🔴#LIVE: YANGA WALIVYOPASHA MISULI SAA CHACHE KABLA YA KUGOMA NA KUONDOKA UWANJANI....
🔴#LIVE: YANGA WALIVYOPASHA MISULI SAA CHACHE KABLA YA KUGOMA NA KUONDOKA UWANJANI....

🔴#LIVE: YANGA WALIVYOPASHA MISULI SAA CHACHE KABLA YA KUGOMA NA KUONDOKA UWANJANI.... LEO ndio Leo, Global TV imefika katika uwanja wa Mkapa jijini Dar na kushuhudia umati mkubwa wa mashabiki wa Simba na Yanga, wakiwa wamefurika kwenye sikukuu ya soka nchini... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



PART 2: MENEJA wa TSHABALALA Afunguka TIMU ATAKAYOSAINI TSHABALALA, SIMBA au YANGA?...
PART 2: MENEJA wa TSHABALALA Afunguka TIMU ATAKAYOSAINI TSHABALALA, SIMBA au YANGA?...

PART 2: MENEJA wa TSHABALALA Afunguka TIMU ATAKAYOSAINI TSHABALALA, SIMBA au YANGA?... MDAU wa Soka nchini, Elly Mzozo, ambaye pia ni meneja wa Mchezaji wa Simba SC Tshabalala, na ameeleza safari ya mchezaji huyo mpaka kufikia katika klabu hiyo.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



Nafasi ya wazi aliokosa LUIS MIQUISSONE Al ahly Vs simba match HIGHLIGHT|CAF CHAMPIONS LEAGUE
Nafasi ya wazi aliokosa LUIS MIQUISSONE Al ahly Vs simba match HIGHLIGHT|CAF CHAMPIONS LEAGUE

Nafasi ya wazi aliokosa LUIS MIQUISSONE Al ahly Vs simba match HIGHLIGHT|CAF CHAMPIONS LEAGUE PATA kutazama habari mbalimbali za michezo na burudani bila kusahau makala za kijamii pamoja na vivutio mbalimbali vya utalii kupitia katika channel hii pendwa ya TOKAZAMANI TV.



🔴#LIVE​​: KAULI ya CEO wa SIMBA Baada ya KUIFUNGA AS VITA - "TUTAWAONESHA AL AHLY Nani ni BINGWA"
🔴#LIVE​​: KAULI ya CEO wa SIMBA Baada ya KUIFUNGA AS VITA - "TUTAWAONESHA AL AHLY Nani ni BINGWA"

🔴#LIVE​​: KAULI ya CEO wa SIMBA Baada ya KUIFUNGA AS VITA - "TUTAWAONESHA AL AHLY Nani ni BINGWA" Mtanange wa marudiano wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya makundi, kati ya SIMBA SC vs AS VITA, umechezwa leo Aprili 03, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Mnyama kulipa kisasi kwa kumchapa Vita mabao ( 4 - 1).... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



AISEE! SIMBA kwa MAZOEZI Haya, AS VITA HAWACHOMOKI, MORRISON, WAWA Wageuka KIVUTIO...
AISEE! SIMBA kwa MAZOEZI Haya, AS VITA HAWACHOMOKI, MORRISON, WAWA Wageuka KIVUTIO...

AISEE! SIMBA kwa MAZOEZI Haya, AS VITA HAWACHOMOKI, MORRISON, WAWA Wageuka KIVUTIO... Wachezaji wa timu ya Simba SC, wameendelea na mazoezi ya kufa mtu kwa ajili ya kuvaana na klabu ya AS Vita katika mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa Afrika utakaochezwa katika dimba la Mkapa jijini Dar, Jumamosi ya Aprili 03... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



MWL KASHASHA AICHAMBUA SARE ya SIMBA SC vs TZ PRISON - "HIKI ni KIPIMO Kwa SIMBA"..
MWL KASHASHA AICHAMBUA SARE ya SIMBA SC vs TZ PRISON - "HIKI ni KIPIMO Kwa SIMBA"..

MWL KASHASHA AICHAMBUA SARE ya SIMBA SC vs TZ PRISON - "HIKI ni KIPIMO Kwa SIMBA".. MCHAMBUZI wa Soka, Mwalimu Kashasha amesema kuwa mchezo wa Simba SC vs Tz Prison ni kipimo kizuri kwa klabu ya Simba ambayo inakwenda kukipiga na Al Merrikh wikiend hii.. Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa pili kati ya, SIMBA SC vs TANZANIA PRISONS, umechezwa leo Machi 10, katika dimba la Mkapa jijini Dar.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa sare ya mabao ( 1- 1), ambapo wajelajela walitangulia kupitia kwa Salum Kimenya na baadae Simba wakasawazisha kupitia kwa Luis Miqquisone... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



MCHEZAJI ALIYEMUUMIZA AISHI MANULA AFUNGUKA MAZITO, TAZAMA ALICHOKISEMA
MCHEZAJI ALIYEMUUMIZA AISHI MANULA AFUNGUKA MAZITO, TAZAMA ALICHOKISEMA

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIPA wa Simba, Aishi Manula amepakizwa kwenye gari la wagonjwa baada ya kuumia dakika ya 71 ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Msimbazi na JKT Tanzania unaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Manula alidondoka chini baada ya kuruka pamoja na mchezaji wa JKT Tanzania, kisha Erasto Nyoni alikimbia haraka kumuona na akawaita madaktari. Hata hivyo baada ya madaktari kumpa huduma ya kwanza Manula alionekana hali yake mbaya wachezaji wenzake wakaonyesha ishara ya kumfanyia mabadiliko. Badae akapakwizwa kwenye gari la wagonjwa na kupelekwa hospitalini. Beno Kakolanya akaingia kuchukua nafasi yake ili kumalizia dakika zilizobakia. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars




« Previous Next »


Popular Tags

#Neymar  #Zlatan Ibrahimovi  #Best Goalkeeper Saves  #Gareth Bale  #Thomas Muller  #Paul George  #Philadelphia 76ers  #Manuel Neuer  #Luis Suarez  #Stephen Curry  

Popular Users

#BarackObama  #MieshaTate  #DeAndre  #Oprah  #LarryFitzgerald  #IAmJericho  #wizkhalifa  #MileyCyrus  #BBCBreaking  #LAKings  #JayBilas  #iamsrk  #steveaustinBSR  #instagram  #realDonaldTrump