Goli la Coastal Union (1-0) ikiipigisha 'baikoko' Ihefu - VPL 24/11/2020
Goli la Coastal Union (1-0) ikiipigisha 'baikoko' Ihefu - VPL 24/11/2020

Coastal Union ikiwa nyumbani ikaibamiza Ihefu SC kwa goli 1-0 kwenye mchezo wa VPL Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights| Mbeya City ilivyoonesha umwamba kwa JKT (0-1) - VPL 24/11/2020
Highlights| Mbeya City ilivyoonesha umwamba kwa JKT (0-1) - VPL 24/11/2020

Mbeya City pasi na kuogopa 'buti la jeshi' ikaichapa JKT Tanzania 0-1 kwenye mchezo wa VPL na kunyakua pointi tatu muhimu. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Goli la Polisi Tanzania (1-0) ikiipigisha kwata Mtibwa Sugar - VPL 24/11/2020
Goli la Polisi Tanzania (1-0) ikiipigisha kwata Mtibwa Sugar - VPL 24/11/2020

Ilikuwa ni mguu pande na mguu sawa, wakati Mtibwa Sugar ikipigishwa kwata na Polisi Tanzania ambao wameibuka na ushindi wa bao 1-0. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Tanzania Prisons 0-0 Mtibwa Sugar  - VPL 20/11/2020
Highlights | Tanzania Prisons 0-0 Mtibwa Sugar - VPL 20/11/2020

Ni mechi ya ligi kuu Tanzania Bara iliyochezwa Ijumaa, Novemba 20 kwenye Uwanja wa Nelson Mandela na kumalizika kwa suluhu. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Goli la Mbeya City (0-1) ikiibamiza JKT Tanzania - VPL 24/11/2020
Goli la Mbeya City (0-1) ikiibamiza JKT Tanzania - VPL 24/11/2020

Tazama bao la Mbeya City ikiitandika JKT Tanzania kwenye mchezo wa VPL uliomalizika kwa matokeo ya 0-1. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE:  UCHAMBUZI KUELEKEA MECHI ZA LEO VPL IKIWEMO JKT VS MBEYA CITY - 24/11/2020
LIVE: UCHAMBUZI KUELEKEA MECHI ZA LEO VPL IKIWEMO JKT VS MBEYA CITY - 24/11/2020

Leo zinepigwa mechi tatu ambazo ni JKT Tanzania vs Mbeya City, Coastal vs Ihefu, Polisi Tanzania vs Mtibwa. Huu ni uchambuzi kuelekea mechi hizo Hasheem Ibwe akiwa na Ally Kamwe na Rashid Seif Fuatilia matangazo ya taarifa ya habari mchana kutoka #UTV108 kwa undani wa taarifa, maelezo na uchambuzi wa matukio muhimu ya kijamii, kiuchumi na utamaduni pia usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Kosakosa za hatari Yanga vs Namungo (1-1) - VPL 21/11/2020
Kosakosa za hatari Yanga vs Namungo (1-1) - VPL 21/11/2020

YANGA VS NAMUNGO: Tazama kosakosa na baadhi ya mashambulizi ya hatari kutoka kwenye mechi ya jana kati ya Yanga dhidi ya Namungo FC iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | JKT Tanzania 0-2 Gwambina  FC - VPL 21/11/2020
Highlights | JKT Tanzania 0-2 Gwambina FC - VPL 21/11/2020

Tazama jinsi Gwambina walivyowatandika JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa Novemba 21, 2020 kwenye Uwanja wa Samora, Iringa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Kyrie Irving  #Los Angeles Lakers  #Football Skills  #Gareth Bale  #LeBron James  #Cristiano Ronaldo  #Lionel Messi  #Kawhi Leonard  #Neymar  #Paul Pogba  

Popular Users

#billbarnwell  #BrunoMars  #BizNasty2point0  #jimmyfallon  #realDonaldTrump  #hunterpence  #ladygaga  #Ky1eLong  #dougferguson405  #TheChristinaKim  #BaileyLAKings  #YouTube  #TheNotoriousMMA  #iamsrk