Tazama Ndugai  alivyomkaribisha 'Mamadou Sakho' Bungeni leo
Tazama Ndugai alivyomkaribisha 'Mamadou Sakho' Bungeni leo

Tazama tukio hili la Wabunge kumkaribisha Mchezaji wa kimataifa wa timu ya Crystal Palace ya Uingereza na timu ya taifa ya Ufaransa Mamadou Sakho, baada ya kutambulishwa bungeni wakati kikao cha 41 cha Bunge la Bajeti kilipokuwa kikiendelea jijini Dodoma leo.



Simba vs Al Merrikh merreikh marekh merrick 3 0 all goals Full Highlights
Simba vs Al Merrikh merreikh marekh merrick 3 0 all goals Full Highlights

Subscribe ;https://www.youtube.com/channel/UCraXz5ZLN8XlbmU2e3ynW_Q/feed?sub_confamation=1 Instagram ;https://www.instagram.com/tzboi/ Facebook ;



Simba al ahly 1 0 African Champions League Goals
Simba al ahly 1 0 African Champions League Goals

Subscribe ;https://www.youtube.com/channel/UCraXz5ZLN8XlbmU2e3ynW_Q/feed?sub_confamation=1 Instagram ;https://www.instagram.com/tzboi/ Facebook ;



SABABU za NAMUNGO FC KUZUIWA ANGOLA, KUPOKONYWA PASSPORT ZAO, MWENYEKITI WAO AFUNGUKA - "FIGISU TU"
SABABU za NAMUNGO FC KUZUIWA ANGOLA, KUPOKONYWA PASSPORT ZAO, MWENYEKITI WAO AFUNGUKA - "FIGISU TU"

SABABU za NAMUNGO FC KUZUIWA ANGOLA, KUPOKONYWA PASSPORT ZAO, MWENYEKITI WAO AFUNGUKA - "FIGISU TU" MSAFARA wa watu 32 wa Klabu ya Namungo ya Tanzania umezuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda nchini Angola baada ya mamlaka za nchi hiyo kudai kuwa wachezaji watatu na kiongozi mmoja wamepimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Mpaka tunaenda hewani, timu ilikuwa bado ipo uwanja wa ndege huku utata ukitawala kutokana na mamlaka za nchi hiyo kutaka msafara mzima ama urudi Tanzania au uwekwe karantini. Lakini mwisho wa siku imeamriwa msafara mzima wa klabu hiyo kuweka karantini kwa siku tatu. Namungo ipo Angola kuchuana na Clube Desportivo 1º de Agosto katika mechi ya Kombe la Shirikisho ambayo ilipangwa kupigwa kesho Jumapili, Februari 14. Mwenyekiti wa Namungo FC Hassan Zidadu Kungu amesema tangu wameingia Angola wanasumbuliwa kwa kisingizio cha Corona. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous


Popular Tags

#Stephen Curry  #Amazing Solo Goals  #Philadelphia 76ers  #Lionel Messi  #Zlatan Ibrahimovi  #James Harden  #Golden State Warriors  #Football Defensive Skills  #Best Football Defending Skills  #Best Goals  

Popular Users

#cnnbrk  #BizNasty2point0  #imVkohli  #LarryFitzgerald  #ArianaGrande  #twitter  #rihanna  #Kaepernick7  #elonmusk  #CP3  #MikePereira  #nytimes  #tigerwoods  #DjokerNole  #taylorswift13