Content removal request!


Tazama Ndugai alivyomkaribisha 'Mamadou Sakho' Bungeni leo

Tazama tukio hili la Wabunge kumkaribisha Mchezaji wa kimataifa wa timu ya Crystal Palace ya Uingereza na timu ya taifa ya Ufaransa Mamadou Sakho, baada ya kutambulishwa bungeni wakati kikao cha 41 cha Bunge la Bajeti kilipokuwa kikiendelea jijini Dodoma leo.