Magoli | Azam FC 2-3 Yanga SC | NBC Premier League 25/12/2022
Magoli | Azam FC 2-3 Yanga SC | NBC Premier League 25/12/2022

DAR DERBY: Yanga imeitandika Azam FC mabao 3-2 kwenye Uwanja wa benjamin Mkapa, Dar es Salaam, mchezo wa #NBCPremierLeague Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 31', Stephane Aziz Ki dakika ya 33' na Farid Mussa dakika ya 78' wakati Azam wakipata magoli yao yote mawili kupitia kwa Abdul Hamis Suleiman Sopu dakika 27 na 47.



🔴#LIVE: Baada ya kifungo, Manara atoa msimamo mkali dhidi ya TFF, mashabiki wagawanyika - 21/7/ 2022
🔴#LIVE: Baada ya kifungo, Manara atoa msimamo mkali dhidi ya TFF, mashabiki wagawanyika - 21/7/ 2022

#kissfmtanzania #sportsbeats #jiachiekimilionea #manara TIME: 13:00 - 14:00hrs Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/kissfmtanzania​ Instagram: https://www.instagram.com/kissfmtanza... Facebook: https://www.facebook.com/kissfmtanzania​




« Previous


Popular Tags

#Miami Heat  #Allen Iverson  #Kyrie Irving  #Michael Jordan  #David Silva  #New York Knicks  #Kobe Bryant  #Stephen Curry  #Best Goalkeeper Saves  #Stephen Curry  

Popular Users

#twitter  #blakegriffin23  #themichaelowen  #realmadrid  #KDTrey5  #NASA  #ddlovato  #cesc4official  #nfl  #alexmorgan13  #RSherman_25  #GNev2  #BrunoMars