BSUN ONLINE MEDIA, ni channel ya habari za siasa zilizofanyiwa upembuzi yakinifu kabisa kutoka katika vyanzo mbali mbali vya habari ikiwemo MITANDAO YA KIJAMII,MAGAZETI,REDIO NA TV zinazohusu Tanzania na nje ya Tanzania,tunajitahidi sana kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote ule kisiasa. Kama bado huja-subscribe tafadhali fanya ku-subscribe na mshauri mwenzako pia #simba #simbasc #thomastuchel #tanzania @Millard Ayo @GATTU ONLINE MEDIA @Kilimanjaro Media Center @J WEE info @TAMUTAMU TV @Global TV Online @Mubashara Studio @BONGOTIMES TV
Mpenja TV tumekuletea mahojiano na makocha pamoja na mashabiki baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi ya Mabingwa ...
Leo ndiyo leo, Wajelajela Tanzania Prisons wanawakaribisha Simba Sc katika Dimba la CCM kumbukumbu ya Sokoine Mkoani ...
Leo Tarehe 20/8/2022 Ni Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Wenyeji Simba Sc dhidi ya Wanankrukumbi Kagera Sugar ,Uwanja ...
Ewaaa🔥🔥, Siku ya PTK na Pumzi ya Moto imewadia, Leo Mei 8 2022 Mpenja Tv tupo uwanja Wa Benjamin Mkapa kukuletea matukio yote yanayoendelea kabla na Baada ya mchezo Wa Simba Sc dhidi ya Ruvu Shooting. . Asante Kwa kutuchagua, Endelea kuburidika na Mpenja Tv. . #simbasc #ruvushootingfc #nbcpremeierleague #mpenjatv