KIKWETE AMKUMBATIA NYALANDU KWA FURAHA BAADA YA KURUDI CCM, RAIS SAMIA ATIA NENO...
KIKWETE AMKUMBATIA NYALANDU KWA FURAHA BAADA YA KURUDI CCM, RAIS SAMIA ATIA NENO...

KIKWETE AMKUMBATIA NYALANDU KWA FURAHA BAADA YA KURUDI CCM, RAIS SAMIA ATIA NENO... MKUTANO Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) umeanza mapema asubuhi ya leo Aprili 30, ambapo wajumbe wa kamati kuu ya CCM watapiga kura ya kumchagua Rais Samia Suluhu kuwa mwenyekiti wa Chama hicho taifa... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



YANGA WALIVYOAGA MWILI WA HAYATI MAGUFULI, KIBWANA, SENZO, SHIKALO, HUZUNI YATAWALA...
YANGA WALIVYOAGA MWILI WA HAYATI MAGUFULI, KIBWANA, SENZO, SHIKALO, HUZUNI YATAWALA...

YANGA WALIVYOAGA MWILI WA HAYATI MAGUFULI, KIBWANA, SENZO, SHIKALO, HUZUNI YATAWALA... MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, unaendelea kuagwa leo Machi 21, katika jiji la Dar es salaam... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



WAZIRI MKUU AIFAGILIA SIMBA BUNGENI KUIFUNGA AS VITA, AMTAJA  ALIKAMWE
WAZIRI MKUU AIFAGILIA SIMBA BUNGENI KUIFUNGA AS VITA, AMTAJA ALIKAMWE

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Simba SC kwa kupata ushindi wa kwanza ugenini kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita jana usiku Kinshasa, DR Congo. Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita kwa mkwaju wa penalti uliowekwa wavuni na Chris Mugalu dakika ya 60 na kuipa uhakika wa alama tatu timu yake. Majaliwa ameyasema hayo wakati akiahirisha vikao vya Bunge jijini Dodoma na wabunge wakilipuka kwa furaha kushangilia. "Nawapongeza pia mabingwa wa soka Tanzania timu ya Simba SC kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi na jana kushinda mchezo wake wa kwanza ugenini dhidi ya AS Vita nchini DR Congo," amesema Majaliwa Waziri Mkuu pia amempongeza Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez kwa ubunifu wake wa kushirikisha Wizara ya Utalii na kuja na wazo la kuweka maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye jezi za Simba ambazo zinazotumika katika hatua ya makundi kutokana na kanuni za CAF kutoruhusu kampuni za kubeti kutumika kwenye jezi za klabu. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



SABABU za NAMUNGO FC KUZUIWA ANGOLA, KUPOKONYWA PASSPORT ZAO, MWENYEKITI WAO AFUNGUKA - "FIGISU TU"
SABABU za NAMUNGO FC KUZUIWA ANGOLA, KUPOKONYWA PASSPORT ZAO, MWENYEKITI WAO AFUNGUKA - "FIGISU TU"

SABABU za NAMUNGO FC KUZUIWA ANGOLA, KUPOKONYWA PASSPORT ZAO, MWENYEKITI WAO AFUNGUKA - "FIGISU TU" MSAFARA wa watu 32 wa Klabu ya Namungo ya Tanzania umezuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda nchini Angola baada ya mamlaka za nchi hiyo kudai kuwa wachezaji watatu na kiongozi mmoja wamepimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Mpaka tunaenda hewani, timu ilikuwa bado ipo uwanja wa ndege huku utata ukitawala kutokana na mamlaka za nchi hiyo kutaka msafara mzima ama urudi Tanzania au uwekwe karantini. Lakini mwisho wa siku imeamriwa msafara mzima wa klabu hiyo kuweka karantini kwa siku tatu. Namungo ipo Angola kuchuana na Clube Desportivo 1º de Agosto katika mechi ya Kombe la Shirikisho ambayo ilipangwa kupigwa kesho Jumapili, Februari 14. Mwenyekiti wa Namungo FC Hassan Zidadu Kungu amesema tangu wameingia Angola wanasumbuliwa kwa kisingizio cha Corona. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous


Popular Tags

#Paul George  #Best Champions League  #Kyrie Irving  #Paul Pogba  #Neymar  #Miami Heat  #Michael Jordan  #Kawhi Leonard  #Goalkeeper Saves  #LeBron James  

Popular Users

#alexmorgan13  #dougferguson405  #TheRealJRSmith  #BMcCarthy32  #TheRock  #JayBilas  #KylieJenner  #Buccigross  #jtimberlake  #ArianaGrande  #criscyborg  #TheChristinaKim  #iamsrk  #TheNotoriousMMA