Simba 2-2 Al Ahly | Highlights |  African Football League 20/10/2023

Ni mchezo wa ufunguzi ulioshuhudia Simba ikitoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Kibu Denis dakika ya 53, na Sadio Kanoute dakika ya 59 huku magoli ya Al Ahly yakifungwa na Reda Slim (45'+1) na Mahamoud Karahba dakika ya 63.

ALIKIBA ALIVYOTUMBUIZA SIMBA DAY 2023, MASHABIKI WAITIKA..

SIMBA DAY: Hivi ndivyo Mfalme wa Bongo Fleva King @officialalikiba alivyoingia katika dimba la Benjamin Mkapa … Tupo #LIVE kwenye YouTube Channel ya UFMRADIOTZ na 107.3 UFM Radio #UFMUpdates #SimbaDay #TamashaLaSimbaDay #SimbaSC #UnyamaMwingi #Unyama #SikukuuYaSimba @simbasctanzania @ahmedally_

AHMED ALLY AZUNGUMZA ATAKAVYOTAMBULISHA WACHEZAJI SIMBA DAY, “UZURI WANAZUNGUMZIKA”

“Uzuri zaidi msimu huu tuna wachezaji wengi ambao wanazungumzika, lakini kuna vile vionjo ambavyo vinakuja vyenyewe …” @ahmedally_ kwenye kipindi cha #ULIVE hapa 107.3 UFM Radio @ufmradiotz kuelekea #SimbaDay #UFMUpdates #SimbaDay #AhmedAlly

#ULIVE: ALI KAMWE KUFUNGUKA NAMBA 6 NI NANI, ISHU YA MAYELE KUJULIKANA LEO | JULAI 16, 2023

Ungana nasi katika kuyang'amua yaliyojiri kwenye ulimwengu wa michezo. U LIVE ni kila siku kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 1:00 usiku. Tunakuweka Karibu na Michezo.

#ULIVE: NYASA BIG BULLETS (0) VS (0) YANGA SC | MECHI YA KIRAFIKI | 107.3 UFM RADIO JULAI 6, 2023

#ULIVE: HAFLA YA TUZO ZA TFF MSIMU WA 2022/23 | 107.3 UFM RADIO JUNI 12, 2023

#ULIVE: SHEREHE ZA YANGA SC KUKABIDHIWA UBINGWA WA NBCPL 2022/23 | 107.3 UFM RADIO JUNE 9, 2023

« Previous Next »

Popular Tags

#Best Football Defending Skills  #Paul Pogba  #Paul Pogba  #Football Defensive Skills  #Allen Iverson  #Kyrie Irving  #Franck Ribery  #Cleveland Cavaliers  #Lionel Messi  #Best Goals Ever  

Popular Users

#HEELZiggler  #TheEllenShow  #BizNasty2point0  #iamsrk  #RealSkipBayless  #JJWatt  #strombone1  #OleksiakPenny  #THNRyanKennedy  #LilTunechi  #steveaustinBSR  #JohnCena  #BellaTwins  #CNN  #ladygaga