Wadi Degla 0-2 Simba SC | Kocha Fadlu ataka Jayruty wafanye unyama, Kibu D afunguka
Wadi Degla 0-2 Simba SC | Kocha Fadlu ataka Jayruty wafanye unyama, Kibu D afunguka

KUTOKA CAIRO MISRI: " ....msimu huu tunahitaji kuwapiku Yanga" Baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Wadi Degla FC inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo, Kocha wa Simba, Fadlu davids anaeleza baadhi ya mambo ambayo ameridhika nayo, na maeneo ambayo bado ana kazi ya kufanya.... Kuhusu kikosi chake, Kocha Fadlu anasema bado wanahitaji angalau mchezaji mmoja mwenye kitu cha ziada (X-Factor) atakayewaongezea kitu hasa kwenye michuano ya kimataifa pamoja na mbio za ubingwa wa #NBCPremierLeague msimu ujao wakilenga kuwa juu ya Yanga ... Fadlu anasema anaamini mdhamini wao upande wa jezi, 'Jayruty', atalimaliza hilo.... Naye mfungaji wa moja kati ya magoli mawili ya Simba, Kibu Denis anazungumza machache kuhusu maendeleo ya kambi nchini Misri.... Patrick Nyembera anakuja na taarifa kamli kuhusu mchezo huo... #SimbaSC #SimbaEgypt #SimbaPreSeason

KUTOKA RWANDA UWANJA WA AMAHORO TAARIFA MPYA MPYA YA YANGA HII HAPA, KWELI YANGA NI LIDUDE LIKUBWA
KUTOKA RWANDA UWANJA WA AMAHORO TAARIFA MPYA MPYA YA YANGA HII HAPA, KWELI YANGA NI LIDUDE LIKUBWA

KUTOKA RWANDA UWANJA WA AMAHORO TAARIFA MPYA MPYA YAN YANGA HII HAPA, KWELI YANGA NI LIDUDE LIKUBWA

MOHAMED BAJABER ALIPEWA TAARIFA YA KUHITAJIKA NA SIMBA NA NANI?/"SIMBA NI TIMU KUBWA/SIKULALA"
MOHAMED BAJABER ALIPEWA TAARIFA YA KUHITAJIKA NA SIMBA NA NANI?/"SIMBA NI TIMU KUBWA/SIKULALA"

SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 📱 Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

🛑FRIJI BOVU: TAARIFA MPYA KUHUSU MPANZU, FADLU AFURAHISHWA NA MAZOEZI YA SOWA,  KANTE, BAJABER,
🛑FRIJI BOVU: TAARIFA MPYA KUHUSU MPANZU, FADLU AFURAHISHWA NA MAZOEZI YA SOWA, KANTE, BAJABER,

FRIJI BOVU: TAARIFA MPYA KUHUSU MPANZU, FADLU AFURAHISHWA NA MAZOEZI YA SOWA, KANTE, BAJABER, #globaltvonline #millardayo #simba #wasafi #azamfc #football #yanga #simbasc #footballclub #live

MZEE SAIDI: ALIA NA THANK YOU YA MAVAMBO/ WAGALATIA WALIJUAJE SIMBA TUNAMTAKA CONTE? WANA MTU WAO
MZEE SAIDI: ALIA NA THANK YOU YA MAVAMBO/ WAGALATIA WALIJUAJE SIMBA TUNAMTAKA CONTE? WANA MTU WAO

kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes

🔴#live_KIMENUKA! TAARIFA MPYA USIKU HUU, YANGA WAMFUATA MPANZU CONGO, FEI TOTO NAYE AMESAINI? HANS
🔴#live_KIMENUKA! TAARIFA MPYA USIKU HUU, YANGA WAMFUATA MPANZU CONGO, FEI TOTO NAYE AMESAINI? HANS

HANS AMWAGA SIRI NZITO! MUDA HUU YANGA WAMEMFUATA MPANZU DE CONGO? NI BALAA! UMEONA? CHEKI VIDEO NZIMA HII HAPA

MZEE SAID!!  VIONGOZI SIMBA SC KWA NINI TUWAACHE BEST PLAYER WETU// BALAA  NEW FORCE YATINGA SIMBA
MZEE SAID!! VIONGOZI SIMBA SC KWA NINI TUWAACHE BEST PLAYER WETU// BALAA NEW FORCE YATINGA SIMBA

kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes

« Previous Next »

Popular Tags

#Chicago Bulls  #Stephen Curry  #Football Skills  #Manuel Neuer  #Neymar  #Best Ball Controls  #Lionel Messi  #Shot Goals  #Russell Westbrook  #Amazing Solo Goals  

Popular Users

#cnnbrk  #DanicaPatrick  #ArianFoster  #IAmJericho  #Oprah  #richarddeitsch  #DeAndre  #iamsrk  #britneyspears  #TheRock  #LAKings  #criscyborg  #narendramodi