AZAM FC WALIFANIKIWA HAPA DHIDI YA SIMBA/"AKAMINKO ANAJUA BOLI/ERASTO NYONI HANA MAKOSA"

Leo October 27 ,2022 Unashuhudiwa Mchezo wa Mzizima Dabi Baina ya Azam FC Dhidi Ya Simba SC Mchezo Unaopigwa ...

NYONI AFANYA VURUGU MISRI/ SAKHO AMPONZA/ MO DEWJI AFUNGUKA/ ACHELEWA TUZO ZA CAF!

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #sakho #nyoni #modewji

ONA ALICHOKISEMA SHABIKI WA SIMBA ANAEMKUBALI FISTON MAYELE BAADA YA SIMBA KUWAFUNGA DODOMA JIJI

✍Simba SC hawakuwa katika ubora ambao wenyewe wangetamani lakini wamevuna alama 3 , katika mechi zote za msimu ngumu mechi zote ucheze kwa kiwango cha juu , muhimu ni kukusanya alama tatu ndio waliciofanya leo dhidi ya Dodoma FC ambao hawakuonesha madhara kwenda mbele . ✍Dodoma FC dakika kama 5 au 10 za mwanzo walianza na BACK 3 lakini wakaibadilisha haraka na kwenda 4-3-3 wakiwa na mpira na 4-4-2 bila mpira , hawakutaka kuzidiwa idadi ya wachezaji katikati ya uwanja na pembeni ya uwanja... lakini bado mara kadhaa waliacha spaces kubwa sana baina ya mstari mmoja na mwingine na mchezaji kwa mchezaji ✍Ni Simba tu wenyewe , Dodoma ni kama vile hawakuwa na mpango au maono ya kutafuta goli, walikuwa tayari kufungwa ( Dodoma was there for taking ) ...Simba hasa kipindi cha kwanza walikuwa slow sana , umakini unakosekana , walikuwa wanacheza kama wanaongoza 3 au 4 , mpira haukutembea kwa haraka kutoka sehemu moja kwenda nyingine ...viungo watatu ( Chama Nyoni Mzamiru ) + mawinga wawili ( Banda na Sakho ) wote wanacheza mbele ya Dodoma ...hakukuwa na mikimbio ya kutosha nyuma ya kiungo cha Dodoma na safu ya ulinzi ya Dodoma ( Easy to defend ) ✍Nafikiri Dodoma walicheza bila imani kwamba wanaweza kufunga au kupata chochote kitu dhidi ya Simba ,kuna muda walikuwa " Casual " sana , jinsi idadi ya mipira waliyokuwa wanapoteza kirahisi , iwe kwenye kiungo mpaka pembeni ya uwanja ( Sloppy ) nafikiri hata Wawa na Onyango wanaweza wakaangaliana na kujiuliza " Hivi leo mbona hatuna kitu cha kuzuia ? " 😀 NOTE 1: George Wawa sijui alikuwa anafikiria nini ? Alijua refa hatomuona kushika mpira kwa staili ile ? Doh 😀😀 na bado akabisha,Chama Jr alituliza akili licha ya wachezaji wa Dodoma kumfanyia " Mind game" 2: Cleophace Mkandala ..amekosa tu msaada kutoka kwa wenzake,maana ndio mchezaji pekee ambaye akiwa na mpira ndio unaona anaweza kufanya jambo. 3: Positive nyingine kwa Simba ukiacha alama 3 ni kurejea kutoka kwenye majeraha baadhi ya wachezaji 4: Peter Banda hakuacha kujaribu kutengeneza nafasi mpaka akapata assist yake kwa Kagere. Never give up 5: Dodoma inaonekana bado inasukwa ..muda unakimbia FT: Simba 2-0 Dodoma FC

UTACHEKA!! SHABIKI SIMBA ATEMA SHOMBO BAADA YA KUWAFUNGA 2-0 DODOMA JIJI KWA MKAPA

HALI YA MASHABIKI WA SIMBA ILIVYOKUWA BAADA YA ERASTO NYONI KUPIGA PENATI NA KUKOSA

Mchezo wa ligi kuu ya NBC Umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba Ruvu shooting dhidi ya Simba na matokea mpaka dakika tisini Ruvu Shooting 1 vs Simba 3.

« Previous Next »

Popular Tags

#Best Champions League  #Paul Pogba  #Cleveland Cavaliers  #Michael Jordan  #Los Angeles Lakers  #Zlatan Ibrahimovi  #Stephen Curry  #Football Defensive Skills  #Miami Heat  #Best Goals Ever  

Popular Users

#billbarnwell  #normmacdonald  #RobGronkowski  #blakegriffin23  #BaileyLAKings  #DjokerNole  #MikePereira  #KimKardashian  #twitter  #KingJames  #si_vault  #JJWatt  #geniebouchard