Al Ahly wa Simba SC Wafika Tanzania kibabe, Simba wakumbuke 5 - 0
Al Ahly wa Simba SC Wafika Tanzania kibabe, Simba wakumbuke 5 - 0

Al Ahly wa Simba SC Wafika Tanzania Kibabe, Simba wakumbuke 5 - 0 #AlahlyVsSimbaSc #SimbaVsAlyAhly #AlAhly #SimbaSC #Simba #AlAhlyWalivyowasiliTanzania #LigiYaMabingwaAfrika #MagoliYote #EmmanuelOkwi #MeddieKagere #JohnBocco #HajiManara #MsemajiWaSimbaHajiManara #MoDewji #Mo



Magoli Yote SIMBA SC 3 - 0 MWADUI FC
Magoli Yote SIMBA SC 3 - 0 MWADUI FC

Magoli Yote SIMBA SC 3 - 0 MWADUI FC #SIMBAvsMWADUILEO #SIMBALEO #SIMBAnaMWADUI #MeddieKagere #JohnBocco #Mzamiru #TanzaniaPremierLeague #SisiNiSoka #LigiKuuTanzaniaBara #AzamTVApp #SimbaSC #MwaduiFC #SimbaVsMwadui



Alichosema KOCHA SIMBA, Kotei, Chama, Mkwakwani Tanga
Alichosema KOCHA SIMBA, Kotei, Chama, Mkwakwani Tanga

Mambo mawili yaliyofungwa na Meddie Kagere katika dakika za 11 na 38 kipindi cha kwanza yameiwezesha Simba kung'ara kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga, Simba ilimuazisha kiungo wake Mghana, James Kotei ambaye alikuwa anatumikia adhabu kufuatia kumpiga Gadiel Michael katika mechi ya mwisho iliyowakutanisha watani wa jadi. Ushindi huo unaifanya Simba kuendelea kuikimbiza Azam FC iliyo na pointi 27 kileleni kwa kufikisha alama 26. Licha ya ushindi huo, Kocha Patrick Aussems ameulalamikia Uwanja wa Mkwakwani kuwa si rafiki kwa kuchezea na akiomba kama kuna uwezekano uweze kufanyiwa ukarabati. #JKTTanzania #SIMBASC #MeddieKagere




« Previous


Popular Tags

#New York Knicks  #Luis Suarez  #Russell Westbrook  #Gareth Bale  #Kawhi Leonard  #Best Goals  #Mesut Ozil  #Thomas Muller  #Paul Pogba  #Stephen Curry  

Popular Users

#DanicaPatrick  #realDonaldTrump  #selenagomez  #GNev2  #Oprah  #josecanseco  #KDTrey5  #hunterpence  #TheNotoriousMMA  #JLo  #katyperry  #jtimberlake  #SrBachchan  #shakira