Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Baba wa marehemu mwigizaji Fredy Kiluswa, Nahum Kiluswa, ameiambia Mwananchi Digital kuwa kwa mara ya kwanza kijana wake alipata maradhi ya moyo akiwa safarini mwezi mmoja uliopita. Kiluswa amesema kuwa Novemba 16, 2024, marehemu alipozidiwa alikimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuwekwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu. “Hali yake ilikuwa mbaya, alikuwa akipumua kwa shida, huku presha yake ikiwa juu na haikushuka kwa muda mrefu". Ameongeza kuwa marehemu hakuwa na historia ya magonjwa hayo hata alipokuwa mtoto. Fredy Kiluswa, aliyezaliwa mwaka 1992, ameacha mke na watoto wawili. Mwili wake utaagwa Jumanne, Novemba 19, 2024, katika viwanja vya Leaders Club kisha kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Ewe Mwanadada unaetaka kusuka Fika sasa kwa Msusi Safi wakusuke kisasa na kwa bei nafuu Huduma Zao: Kusuka Nywele mitindo yote | kuosha nywele n.k Wanapatikana Sinza Vatcan Karibu na ukumbi wa Mawela Social Hall Piga: +255 657 306 709 / 0620366579
Truth Media Kuwa Kwanza Kupata Habari Za Uhakika Instagram: https://www.instagram.com/truthmediatz_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@truthmediatz_?_t=8piZG2T2qDF&_r=1