Tunawatakia kila la heri Mashujaa Fc katika mchezo wa mkondo wa pili wa Playoff dhidi ya Mbeya City utakaochezwa katika Uwanja wa Sokoine - Mbeya. @kigomaras @KigomaUjijiMC #mapigonamwendo #mainfmtanzania #kigoma #tumekufikia
... 🚨 | Kila bao laki sita. WakatiI mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akitangaza kiingilio bure katika mechi ya marudiano ya play-off kati ya Mbeya City na Mashujaa, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amejibu mapigo akitangaza Sh 600,000 kwa kila bao
Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii : â–»JOIN OUR ...
Taifa Stars iko kwenye harakati za kuwania kufuzu kwa miachuano ya AFCON na mwishoni mwa wiki ilipata ushindi wa 1-0 ...
Timu ya Mashujaa FC ya Kigoma kutoka ligi ya Championship imeitandika Mbeya City kutoka Ligi Kuu ya NBC mabao 3-1 katika ...
Ungana nasi katika kuyang'amua yaliyojiri kwenye ulimwengu wa michezo. U LIVE ni kila siku kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa ...