Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIPA wa Simba, Aishi Manula amepakizwa kwenye gari la wagonjwa baada ya kuumia dakika ya 71 ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Msimbazi na JKT Tanzania unaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Manula alidondoka chini baada ya kuruka pamoja na mchezaji wa JKT Tanzania, kisha Erasto Nyoni alikimbia haraka kumuona na akawaita madaktari. Hata hivyo baada ya madaktari kumpa huduma ya kwanza Manula alionekana hali yake mbaya wachezaji wenzake wakaonyesha ishara ya kumfanyia mabadiliko. Badae akapakwizwa kwenye gari la wagonjwa na kupelekwa hospitalini. Beno Kakolanya akaingia kuchukua nafasi yake ili kumalizia dakika zilizobakia. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Yanga SC wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga SC inayofundishwa Mserbia, Zlatko Krmpotic inafikisha pointi 13 baada ya ushindi huo katika mchezo wa tano, sasa ikiongoza Ligi Kuu kwa pointi tatu dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao wana mechi moja mkononi. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Shabiki wa MBAO FC Aangua KILIO Hadharani "Mama Yangu Weeee" Timu ya Mbao FC ya jijini Mwanza imefanikiwa kubaki kwenye i kuu bara baada ya kutoa sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar, katika Mchezo uliochezwa leo katika dimba la CCM Kirumba Jijini humo. #MBAOFC #LIGIKUUBARA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho