Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura
Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori amesema uamuzi wa kuwauza nyota wao watatu ndiyo siri ya kuwasajili nyota wanane walioboresha kikosi hicho katika dirisha dogo na kupata timu ya ushindani. Akizungumza na Mwananchi Digital alipofanya ziara yake Kampuni ya Mwananchi, Tabata amesema hatua ya kutengeneza kikosi cha ushindani kinachoendelea kufanya vizuri haikuwa rahisi kutokana na kukosekana kwa bajeti ya kutosha. Magori alisema Simba ilisajili wachezaji wanane katika dirisha dogo la Januari ambao ni kipa Djibril Kassali, mabeki Nickson Kibabage, Ismaila Toure, viungo Libasse Gueye, Anicet Oura, Inno Loemba, Clatous Chama na mshambuliaji Baraka Mwangosi hiyo ilitokana na fedha walizopata baada ya mauzo ya wachezaji wake watatu. Januari wakati wa dirisha dogo Simba iliwauza, kiungo Jean Charles Ahoua aliyenunuliwa na CR Belouizdad ya Algeria, mshambuliaji Steven Mukwala na kiungo mshambuliaji Kibu Denis aliyeuza Al Nasri ya Libya.



L’Inno apre la Finale della Supercoppa 🇮🇹 | Verona vs Perugia
L’Inno apre la Finale della Supercoppa 🇮🇹 | Verona vs Perugia

Le note dell'Inno nazionale italiano precedono la Finale della Del Monte Supercoppa SuperLega al PalaTrieste. In campo le due ...



Italy national anthem EURO 2024 Germany-Italy vs Spain
Italy national anthem EURO 2024 Germany-Italy vs Spain

Italian singing national anthem euro 2024 Germany Inno Natzionale Italiano Italia #italia #italian #national #anthem #football ...




Next »


Popular Tags

#Thomas Muller  #Russell Westbrook  #Chicago Bulls  #Goalkeeper Saves  #Shaquille O'Neal  #Chris Paul  #Neymar  #Kawhi Leonard  #Shot Goals  #Michael Jordan  

Popular Users

#IAmJericho  #THNRyanKennedy  #TheRock  #dougferguson405  #MikePereira  #obj  #blakegriffin23  #nfl  #RealSkipBayless  #TheChristinaKim  #LarryFitzgerald  #fauxpelini  #strombone1  #GNev2