Mtangazaji wa Soka kutoka Azam Media LTD,Gharib Mzinga ametoa mtazamo wake kuhusu wapinzani wa Yanga SC kwenye robo fainali ligi ya Mabingwa Afrika Mamelodi Sundowns na Wapinzani wa Simba SC,Al Ahly.
YANGA SC AKIZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU,ATATOBOA. • Huu ndio UBORA na UDHAIFU wa Mamelodi. • Yanga SC watumie faida hii toka kwa Gamondi. • Wafahamu wachezaji hatari wa Mamelodi. Usipange kukosa kupitia YouTube channel ya SALAMBA TV. Tembelea YouTube channel ya maokoto (SALAMBA TV) ili kutazama mahojiano haya kwa urefu zaidi. Proffesor : @dominicksalamba Guest: @dr.bravo_ Host: @supadiego_ Follow @salamba_tv Follow @salamba_tv Follow @salamba_tv
Kikosi cha Yanga SC kimefanya mazoezi yao ya mwisho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya Mchezo wa Februari 24,2024 wa ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya CR Belouizdad,Utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 1:00 jioni.
Tazama hapa Dakika kumi za Mdaka Mishale akicheza Afcon dhidi ya Sout Africa Moto wake wachambuzi wamekubali kaoko michomo hatari #djiguidiarra #Mali #Percutau