Uchambuzi CLOUDS FM: wapagawa na PENATI za YANGA Kuifunga GEITA, watoa HESABU ZA UBINGWA mwaka wao
Uchambuzi CLOUDS FM: wapagawa na PENATI za YANGA Kuifunga GEITA, watoa HESABU ZA UBINGWA mwaka wao

Uchambuzi CLOUDS FM: wapagawa na PENATI za YANGA Kuifunga GEITA, watoa HESABU ZA UBINGWA mwaka wao #hajimanara #subscribe #millardayo #mpenjatv #sports #simba #yanga #diamondplatinumz #geitagold #yangatv #yangasc #azamfc #azamtv #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi..ccc..2022



Yanga 1-1 Geita Gold (Pen:7-6) | Magoli na mikwaju ya penati | Robo Fainali ASFC 10/04/2022
Yanga 1-1 Geita Gold (Pen:7-6) | Magoli na mikwaju ya penati | Robo Fainali ASFC 10/04/2022

YANGA vs GEITA GOLD - Yanga SC imetinga nusu fainali ya #AzamSportsFederationCup kwa mikwaju ya penati 7-6 baada ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika dakika 90 za mchezo. Geita walitangulia kupata bao kupitia kwa Offen Chikola dakika ya 88 na Yanga kuchomoa kwa penati dakika ya 90+4 kupitia kwa Djuma Shaban... Laki mikwaju ya penati ikaamua, Yanga wakipata penati saba na kukosa moja huku Geita wakipata penati 6 na kukosa mbili. Waliofunga penati za Yanga ni Yanick Bangala, Jesus Moloko, Fiston Mayele, Saidi Ntibazonkiza, Djuma Shaban, Bakari Mwamnyeto na Dickson Job huku penati ya golikipa Djigui Diarra ikitoka nje. Upande wa Geita waliofunga ni David kameta Duchu, George Mpole, Yusuph Kagoma, Adeyum Ahmed, Offen Chikola na Kelvin Yondan huku Juma Mahadhi na Maka Edward wakikosa penati zao.



#Live: Geita Gold fc Vs Polisi Tanzania fc , Magoli Yote Tazama hapa
#Live: Geita Gold fc Vs Polisi Tanzania fc , Magoli Yote Tazama hapa

#geitagold #polisitanzania #nbcpremierleague #hengetv #live




« Previous Next »


Popular Tags

#Manuel Neuer  #Neymar  #Zlatan Ibrahimovi  #Goalkeeper Saves  #Franck Ribery  #Counter Attack Goals Football  #Russell Westbrook  #David Silva  #Best Champions League  #Kawhi Leonard  

Popular Users

#Kaepernick7  #dougferguson405  #BringerOfRain20  #KimKardashian  #jimmyfallon  #geniebouchard  #ladygaga  #_BAnderson30_  #BellaTwins  #TheCUTCH22  #incarceratedbob  #KevinHart4real  #nyt4thdownbot  #narendramodi