🔴#LIVE: MANARA ATANGAZA, YANGA vs SOMALIA, Afunguka VITA ya URUSI na UKRAINE, AVUNJA Watu MBAVU.. MSEMAJI wa klabu ya Yanga, Haji Manara, leo Machi 10, amezungumza na wanahabari na kuelezea kuwa Yanga inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Somalia, siku ya Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar. Manara amesema lengo la mechi hiyo ni kukusanya fedha kwa ajili ya kumsaidia mtoto Ally ambaye anaugua magonjwa Adimu. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 kati ya Madagascar na Tanzania uliochezwa Jumapili ya Novemba 14, 2021, nafasi ya Golikipa katika kikosi cha Taifa Stars kilichoanza, alikuwa Metacha Mnata ‘Double M’, ambaye alichukua nafasi ya golikipa namba moja Aishi Manula ambaye alidaiwa kuwa na Corona na Mamlaka za nchi ya Madagascar. Metacha alionesha kiwango bora sana na sisi Mpenja TV tumemsaka atueleze nini siri ya kiwango bora namna ile? Metacha pia amemsifu sana Golikipa wa sasa wa Yanga, Djigui Diarra. #MetachaMnata #TaifaStars #DjiguiDiarra #AishiManula #MpenjaTV