#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Tv kwenye kipindi cha #Clouds360
Mwanasiasa nguli Lazaro Nyalandu katika Clouds 360 ikiwa ni siku 2 tangu arejee Chama Cha Mapinduzi ambapo ameongelea mambo mengi yaliyopelekea yeye kuhama pamoja na kurudi CCM #LazaroNyalandu #Clouds360