Content removal request!


Lazaro Nyalandu: Viongozi CHADEMA Walimuombea Mabaya JPM | Nilimgaragaza Lissu | CCM Ina Mfumo

Mwanasiasa nguli Lazaro Nyalandu katika Clouds 360 ikiwa ni siku 2 tangu arejee Chama Cha Mapinduzi ambapo ameongelea mambo mengi yaliyopelekea yeye kuhama pamoja na kurudi CCM #LazaroNyalandu #Clouds360