Azam Sports 2 iko LIVE muda huu kukuletea uchambuzi Leo kuna mechi mbili: Lipuli FC vs Simba SC LIVE #AzamSPorts2 Mtibwa Sugar vs Coastal Union LIVE #AzamSportsHD Mechi zote ni saa 10:00 jioni. Matangazo haya yako MBASHARA pia katika chaneli ya #AzamSports2 na AzamTVApp
Ni muda mfupi kabla ya Derby ya Mwanza Alliance vs Mbao FC, ikiwa ni miongoni mwa mechi za kwanza katika msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Wawakilishi wa timu hizo wanashutumiana kufanyiana vitendo wanavyoamini kuwa ni vya kishirikiana katika vyumba vya kubadilishia nguo. Mechi inaanza saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSportsHD #AllianceVsMbao #TPL