Neno la kocha wa Klabu ya Azam Fc Floreent Ibenge baada ya kupoteza mbele ya Young Africans siku ya Jana.
Welcome to TV3 โ East Africaโs Home of Sports, Entertainment & Lifestyle! โฝ๐ฅ๐ ๐ก Watch TV3 SPORTS on: AzamTV: Channel 416 StarTimes: DTH-197 | DTT-131 ๐ Based in Dar es Salaam, Tanzania ๐ Broadcasting in ๐น๐ฟ ๐ฒ๐ผ ๐บ๐ฌ ๐ฟ๐ฒ ๐ท๐ผ ๐ง๐ฎ ๐ฐ๐ช ๐ธ๐ด ๐จ๐ฉ In this video: ๐ฅ Full match coverage, highlights, press conferences, interviews, fan reactions & more. We cover: - NBC Premier League - Championship League Tanzania - Simba SC, Yanga SC, Azam FC - UEFA Champions League, EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga - Gossip, lifestyle, and Swahili sports commentary ๐ Subscribe for daily sports content & updates! ๐ฒ Visit: www.tv3.co.tz ๐ท Follow us: @TV3TANZANIA | Powered by @QuantumInfinity.hq #TV3Sports #SimbaSC #YangaSC #TanzaniaSports #NBCPremierLeague #FootballAfrica #LiveSportsTanzania #SportsEntertainment #MichezoTanzania
Hii ni Chaneli ya Michezo inayokuabarisha habari zote kwa kina na kwa umuhimu zaidi, hapa utapata kila kitu ukipendacho kusu soka la tanzania na Duniani kwa ujumla. Subscribe ili uwe wa kwanza kupata habari kubwa zaidi. #simbasc #yangasc #usajiliwasimba #usajiliwayanga #sokaletu #tff
#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
Yanga SC imezidi kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu, kwa kuwachapa Azam FC mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar. Magoli ya Yanga yamefungwa na Ibrahim Abdullah 'Bacca', Laurindo Dilson Depu, na Pacome Zouzoua. Hii ni Ligi Kuu ya NBC, raundi ya 28 (bado mbili tu) Tazama highlights