Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori amesema uamuzi wa kuwauza nyota wao watatu ndiyo siri ya kuwasajili nyota wanane walioboresha kikosi hicho katika dirisha dogo na kupata timu ya ushindani. Akizungumza na Mwananchi Digital alipofanya ziara yake Kampuni ya Mwananchi, Tabata amesema hatua ya kutengeneza kikosi cha ushindani kinachoendelea kufanya vizuri haikuwa rahisi kutokana na kukosekana kwa bajeti ya kutosha. Magori alisema Simba ilisajili wachezaji wanane katika dirisha dogo la Januari ambao ni kipa Djibril Kassali, mabeki Nickson Kibabage, Ismaila Toure, viungo Libasse Gueye, Anicet Oura, Inno Loemba, Clatous Chama na mshambuliaji Baraka Mwangosi hiyo ilitokana na fedha walizopata baada ya mauzo ya wachezaji wake watatu. Januari wakati wa dirisha dogo Simba iliwauza, kiungo Jean Charles Ahoua aliyenunuliwa na CR Belouizdad ya Algeria, mshambuliaji Steven Mukwala na kiungo mshambuliaji Kibu Denis aliyeuza Al Nasri ya Libya.

AHMED ALLY ATEMA CHECHE KIGOMA/AFURAHISHWA NA MATOKEO YA YANGA/JULIO TUNAMUHESHIMU ILA ATATUSAMEHE

USISAHAU KU-SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KWA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU. INSTAGRAM @pmtvtz TIKTOK @officialpmtv TOVUTI: www.pmtv.co.tz

MSEMAJI WA JKT TANZANIA ANYOOSHA MIKONO KWA YANGA / WANAKIMBIA KAMA SUNGURA HATUKUTEGEMEA KABISA

STEPHANE AZIZ KI AKISALIMIANA NA MASHEMEJI ZAKE ZAINZIBAR.

MASIMANGO YA ALLY KAMWE YAWAPA STRESS MASHABIKI WA SIMBA.

ALLY KAMWE AWAPA STRESS MASHABIKI WA SIMBA KISA KUPOTEZA DHIDI YA PETRO DE LUANDA KWA MKAPA

CLEMENT MZIZE AKIKABIDHIWA TUZO YAKE YA GOLI BORA AFRIKA KABLA YA MECHI NA FAR RABAT

UTAMUONEA HURUMA SHABIKI WA SIMBA ATAKA KUPIGANA KISA KUFUNGWA NA YANGA.

Next »

Popular Tags

#Shot Goals  #Lionel Messi  #Ronaldinho  #Manuel Neuer  #Philadelphia 76ers  #Russell Westbrook  #Best Goals  #Paul George  #Best Goalkeeper Saves  #Counter Attack Goals Football  

Popular Users

#OleksiakPenny  #DanicaPatrick  #DwyaneWade  #MichelleDBeadle  #BillGates  #elonmusk  #kevinlove  #AdamSchefter  #BellaTwins  #GNev2  #billbarnwell  #JayBilas  #SportsCenter  #J_No24  #selenagomez