WAZIRI MKUU AIFAGILIA SIMBA BUNGENI KUIFUNGA AS VITA, AMTAJA  ALIKAMWE
WAZIRI MKUU AIFAGILIA SIMBA BUNGENI KUIFUNGA AS VITA, AMTAJA ALIKAMWE

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Simba SC kwa kupata ushindi wa kwanza ugenini kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita jana usiku Kinshasa, DR Congo. Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita kwa mkwaju wa penalti uliowekwa wavuni na Chris Mugalu dakika ya 60 na kuipa uhakika wa alama tatu timu yake. Majaliwa ameyasema hayo wakati akiahirisha vikao vya Bunge jijini Dodoma na wabunge wakilipuka kwa furaha kushangilia. "Nawapongeza pia mabingwa wa soka Tanzania timu ya Simba SC kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi na jana kushinda mchezo wake wa kwanza ugenini dhidi ya AS Vita nchini DR Congo," amesema Majaliwa Waziri Mkuu pia amempongeza Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez kwa ubunifu wake wa kushirikisha Wizara ya Utalii na kuja na wazo la kuweka maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye jezi za Simba ambazo zinazotumika katika hatua ya makundi kutokana na kanuni za CAF kutoruhusu kampuni za kubeti kutumika kwenye jezi za klabu. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Simba imetoa kauli hii baada ya Kupata ushindi kwa kuwafunga As Vita Goli (1-0) kweli This is Simba
Simba imetoa kauli hii baada ya Kupata ushindi kwa kuwafunga As Vita Goli (1-0) kweli This is Simba

Simba watoa kauli nzito baada ya Kupata ushindi kwa kuwafunga As Vita Goli (1-0) kweli This is Simba #simbasc#asvita#sportsleotv



SIMBA SC WATAMBA NCHINI CONGO
SIMBA SC WATAMBA NCHINI CONGO

#Simbasc#ASVita SIMBA SC WATAMBA NCHINI CONGO



Taarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba wapata pigo zito wakiwa Congo
Taarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba wapata pigo zito wakiwa Congo

Taarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As VitaTaarifa mbaya zilizotufikia mchana huu Simba kuwakosa wachezaji 3 tegemeo katika mechi ya As Vita #simbasc #yangasc #asvita #ligikuutanzania #simba #yanga



Mazoezi ya Simba Congo yawachanganya As  Vita wamuhofia Chama,Morrison na Mkude
Mazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na Mkude

Mazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na Mkude #simbasc #yangasc #asvita #simba #kikosichasimba #ligikuutanzania #ligikuu



MKUDE AONDOKA na SIMBA SC kwenda CONGO Kuivaa AS VITA, CHIKWENDE AACHWA DAR...
MKUDE AONDOKA na SIMBA SC kwenda CONGO Kuivaa AS VITA, CHIKWENDE AACHWA DAR...

MKUDE AONDOKA na SIMBA SC kwenda CONGO Kuivaa AS VITA, CHIKWENDE AACHWA DAR... KIKOSI cha SIMBA SC kimeondoka leo Februari 09, kuelekea nchini DRC Congo kwa ajili ya mchezo wao wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita, utakaochezwa Februari 12... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous Next »


Popular Tags

#Franck Ribery  #Manuel Neuer  #Amazing Solo Goals  #Chris Paul  #Paul George  #Miami Heat  #Paul George  #Paul Pogba  #Shot Goals  #Boston Celtics  

Popular Users

#J_No24  #TheCUTCH22  #oldhossradbourn  #mcuban  #StephenCurry30  #kevinlove  #MichelleDBeadle  #realmadrid  #cnnbrk  #katzm  #ddlovato  #realDonaldTrump