Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu. alikiba, ayotv, block 89, bongo chap chap, bunge, bungeni, burna boy, ccm, chadema, davido, diamond platnumz, diamondplatnumz, good morning, habari za leo, habari za millard ayo, harmonize, lavalava, lavi davi, live, magufuli, makonda, mbosso, mgahawa, millard, millard ayo, millardayo, millardayotv, rayvanny, refresh, serikali, sports arena, sports court, spots, sunday worship, tanzania news, the story book, the switch, tiwa savage, trending, uchaguzi, wasafi, wasafi fm, wasafi media, wasafi tv, wizkid, yope, yope remix, zuchu #BinaTv #WasafiTv #ManaraTv
SALEH JEMBE AUMWAGIA SIFA USAJILI WA YANGA, AIPA UBINGWA TENA YANGA MSIMU UJAO, SIMBA BADO KIDOGO
Ally Kamwe ametoa sifa za kutosha kwa Kiungo Jonas Mkude 'Nungu nungu' kuwa ni kiungo bora wa mkabaji kwa hapa Tanzania. Aidha Kamwe ameeleza kuwa Jonas anaweza kucheza Timu yoyote Tanzania hata Young Africans kuna uwezekano wa Jonas kucheza. Sanjari na hayo Ally amejibu maswali ya Chemsha bongo na kuimba Wimbo ambao anausilikiliza sana kipindi hiki ambacho Ligi imekwisha.