Content removal request!


VIWANJANI 10/5/2019: Simba 0-1 Kagera Sugar, Biashara Utd 1-0 Yanga; Kulikoni? (UCHAMBUZI)

Simba wamefungwa 1-0 na Kagera Sugar huku Yanga wakifungwa 1-0 na Biashara United katika michezo yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyopigwa Ijumaa Mei 10, 2019. Ni sababu ya matokeo haya? Kipindi cha Viwanjani kinakuletea uchambuzi wa kina wa michezo hii chini ya wachambuzi wetu Charles Abel na Thobias Sebastian, chini ya Ahmed Ally.