Content removal request!


LIVE | POLISI TZ VS NAMUNGO, IHEFU VS MBEYA CITY - UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - 15/04/2021

Mechi mbili za ligi kuu Tanzania Bara zinapigwa leo, Polisi Tanzania wakiwa Arusha kucheza dhidi ya Namungo FC wakati Ihefu wakikwaana na Mbeya Mbeya City. Fuatilia uchambuzi kuelekea mechi hizo, Hasheem Ibwe akiwa na Rashid Seif na James Samwel. Usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz