Content removal request!


Tanzania 1-1 Sudan | Highlights | Mechi ya Kirafiki 29/03/2022

Timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Sudan katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Sudan wametangulia kupata bao dakika ya 2 kupitia kwa Saddiq Toto na kisha Tanzania kusawazisha dakika ya 79 kupitia kwa Saimon Msuva.