Content removal request!


Alliance FC 2-2 Ndanda SC - Highlights 23/07/2020

Timu ya Alliance ya Jijini Mwanza imelazimishwa sare ya mabao 2-2 na Ndanda SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara VPL uliopigwa kwenye Dimba la Nyamagana, Mwanza. Alliance imefunga magoli yake yote kwa free-kick kupitia kwa Israel Patrick Mwenda pamoja na Martin Kigi, wakati Ndanda ikifunga kupita kwa Abdul Hamis na Omary Mponda. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz