Tazama goli la Simba SC ikiichapa Tanzania Prisons 0-1 dimbani Sokoine Mbeya. Mfungaji ni Jonas Mkude.