Content removal request!


Coastal Union 1-1 Mbeya City: Kauli za makocha na wachezaji akiwemo Alikiba

Ni baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa Jumapili ya Desemba 9, 2018 kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na kumalika kwa sare ya bao 1-1.