TZ PRISONS vs AZAM FC: Tazama highlights jinsi Azam FC walivyotoa kichapo cha mabao 4-0 kwa Tanzania Prisons katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Magoli yamefungwa na Tepsi Evance, Ismail Aziz Kader, Ibrahim Ajibu na Charles Zulu.